Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Kwangu mimi wimbo wa Koffi Olomide unaoitwa ANDRADA ndio wimbo mzuri zaidi ukifuatiwa na SKOL LONGITIMA na Klkisha EFRAKATA. Hizi nyimbo huwa sichoki kusikiliza.

Pamoja na yote kwa muziki wa Rhumba hakuna kama Ferre Gola dunia hii.
Andrada na effrakata zinachosha ila loi ni moto
Unaiweza kuisikiliza asubuhi mpaka jioni.
 
Nasikitika..... Ngouli...haipo!!!!
Hio ngoma ipo kwenye album ya monde arabe

Humo ndani kuna ile eputsha hio ngouli
Na kuna hizi silivi embargo na porme verte hii album ya moto mpk leo kuna mawe mengi humo usisahau na respect ipo humo ndo ilibeba hio album💥💥💥

Koffi ni legend forever ..
king of tchatcho
 
Hapo twende kwa
Wenge music BCBG na pini lao "Kine busheee" ndani humo JB mpiana kalalamika saaaana
Halafu kuna Etepe Buengo ya hao hao miamba, ndani humo Werason Ngiama kalalama saaaana
 
Ekobanga binute ekobanga nzambe na ngai ,allellujah.....Hatari nimekumbuka mbali sana! Kuna Julie na Magie hatari sana hizo ngoma! Long tym sana ndiyo zilikuwa hits.
 
Nenda kamsikilize Aurus Mabele Ngoma inaitwa Evelyna.. y'allikuwa mapinduzi hasa ya soukus. Sikiliza muziki Kisha angalia video yake, Mzee alikuwa nishidah tupu.
 
Nenda kamsikilize Aurus Mabele Ngoma inaitwa Evelyna.. y'allikuwa mapinduzi hasa ya soukus. Sikiliza muziki Kisha angalia video yake, Mzee alikuwa nishidah tupu.
huyo ni moto mwingine nakumbuka ma DCM Yoyota maarufu enzi hizo kama chai maharage. basi zilikua zinajaa Dar watu walikaa kuangaliana wengine wanasimama
 
Kuna Wenge musica
Na Ngoma yao Kine e bouge
Humo mtu mzima JB mpiana kalalamika mnoooo
Halafu gitaa la solo Alain Makaba kalitendea heshima kubwa mnooo
 
Ngoma kalii sana hii Ah mingizile, ba yaya mingizile. Ah mingizile, ba yaya mingizile. Nge umvuata wayisa, wasi samenu. Kala i ngangu ngowu mwe bai ka sakane eh
Sana mdau.. Maana yake nini? halafu mi binafsi naomba rhylics za nyimbo za Pappy Tex akiwa na Pepe Kalle
 
Sana mdau.. Maana yake nini? halafu mi binafsi naomba rhylics za nyimbo za Pappy Tex akiwa na Pepe Kalle
kwa mfano, akina baba kwa mfano. Ah mbinguni, baba mbinguni. Akaenda na nguo zake, akaketi. Rangi ni ya kijinga kwa sababu haicheshi eh
 
Kuna Wenge musica
Na Ngoma yao Kine e bouge
Humo mtu mzima JB mpiana kalalamika mnoooo
Halafu gitaa la solo Alain Makaba kalitendea heshima kubwa mnooo
Kuna dude lao lile la "Kalayi Boeng" kikosi cha WENGE MUSICA kimekamilika Didier Masela, Adolf Dominguez, Allain Makaba, Werasson, Blaize Bula na mbabe JB Mpiana lile dude nimelicheza utotoni mpaka leo lilkipigwa lazima niache kazi zangu zote nilisikilize.

Sijui kwanini wale jamaa waliamuaga kujitenga, they were untouchable.

View: https://www.youtube.com/watch?v=A6w3iwoIG8Y
 
Back
Top Bottom