Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Sawa sawa uko sahihi. Ni maoni yangu tu yale. Na so far nilivyosikiliza mziki wa rhumbaNayo nzuri lakini sio kuizidi hiyo Loi bwana
Hii ninayo ila haiifikii loiSikiliza chuma hiki .... Sala ya extra
Andrada na effrakata zinachosha ila loi ni motoKwangu mimi wimbo wa Koffi Olomide unaoitwa ANDRADA ndio wimbo mzuri zaidi ukifuatiwa na SKOL LONGITIMA na Klkisha EFRAKATA. Hizi nyimbo huwa sichoki kusikiliza.
Pamoja na yote kwa muziki wa Rhumba hakuna kama Ferre Gola dunia hii.
Hio ngoma ipo kwenye album ya monde arabeNasikitika..... Ngouli...haipo!!!!
Thats why nikaanza na neno KWANGUAndrada na effrakata zinachosha ila loi ni moto
Unaiweza kuisikiliza asubuhi mpaka jioni.
Mkuu namfuatilia Koffi mpaka leo hii lakini binafsi sijaona ngoma yake iliyoizidi ULTIMATUM.Ultimatum imezidiwa hata na force de frappe
huyo ni moto mwingine nakumbuka ma DCM Yoyota maarufu enzi hizo kama chai maharage. basi zilikua zinajaa Dar watu walikaa kuangaliana wengine wanasimamaNenda kamsikilize Aurus Mabele Ngoma inaitwa Evelyna.. y'allikuwa mapinduzi hasa ya soukus. Sikiliza muziki Kisha angalia video yake, Mzee alikuwa nishidah tupu.
Sana mdau.. Maana yake nini? halafu mi binafsi naomba rhylics za nyimbo za Pappy Tex akiwa na Pepe KalleNgoma kalii sana hii Ah mingizile, ba yaya mingizile. Ah mingizile, ba yaya mingizile. Nge umvuata wayisa, wasi samenu. Kala i ngangu ngowu mwe bai ka sakane eh
kwa mfano, akina baba kwa mfano. Ah mbinguni, baba mbinguni. Akaenda na nguo zake, akaketi. Rangi ni ya kijinga kwa sababu haicheshi ehSana mdau.. Maana yake nini? halafu mi binafsi naomba rhylics za nyimbo za Pappy Tex akiwa na Pepe Kalle
Hizi hapaSana mdau.. Maana yake nini? halafu mi binafsi naomba rhylics za nyimbo za Pappy Tex akiwa na Pepe Kalle
Kuna dude lao lile la "Kalayi Boeng" kikosi cha WENGE MUSICA kimekamilika Didier Masela, Adolf Dominguez, Allain Makaba, Werasson, Blaize Bula na mbabe JB Mpiana lile dude nimelicheza utotoni mpaka leo lilkipigwa lazima niache kazi zangu zote nilisikilize.Kuna Wenge musica
Na Ngoma yao Kine e bouge
Humo mtu mzima JB mpiana kalalamika mnoooo
Halafu gitaa la solo Alain Makaba kalitendea heshima kubwa mnooo
Zipo nyingi sana. Kinachotofautisha ni mahadhi.Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Koffi kaimba nyimbo nyingi sana rhumba nzuri tu kuliko hio loi ambayo mnacheza bar za manzese huko.Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE