He mkuu sasa kama usemalo unaliona rahisi ivyo ile meli imezama tokea 1912 April sasa ni karne kama ni rahisi lingekwishafanyika kitambo sana lakini inashindikana waliofika wamesema ni sehemu hatari, na hicho kinachoendelea kutokea ndio kinazidi kuogopesha., wewe unafkiri mpaka imetumwa robot hujajua tu kama hakufikiki eti robot akafunge kamba iburutwe nchi kavu sio mtumbwi ule kina cha maji ni kirefu sana 12500ft deepHamna kitu kilichobaki pale cha kufuatwa na mtoto.Kama kipo ile roboti iliyoona mabaki ingekwisha kuzileta hizo dhahabu. Na pia ingewezekana kufungwa kamba na kuvutwa juu kidogo kidogo au ikapelekwa kwenye kina kidogo cha bahari.