Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

Hivyo ni visingizio tu... Ila wenye akili walishajua Simba ni mbovu na kinachotafutwa no sababu za kutokuchukua NBC league! . Mashabiki ya Simba ni sawa na wabunge wa CCM tu yanadanganywa kwa mafanikio ya whtup app, shabiki bora😅😅😅.
 
Japo mimi ni utopolo lakini hawa ndugu zetu wamezidi umbumbumbu. Hivi hawa viongozi wa simba nani kawaloga? Hivi wanashindwa vipi kuuchagua uwanja wa Chamazi kwa ajili ya mechi zake za nyumban?

Je wana sababu yoyote ya msingi? Hivi timu kuipeleke mkoani kuikodishia hoteli, kuikodishia uwanja wa mazoezi, kusafirisha viongozi na mashabiki, hizi gharama hawaoni km ni kumbebesha mzigo Mo dewj?

Ok njoo sasa kwenye kiwanja wa mechi wenyewe cha Jamhuri ni utopolo mtupu, yani ni mwendo wa butua butua.

Je uongozi wa Simba umeona kabisaa ujiongezee gharama za matumizi kwa ajili ya kwenda kupoteza points huko morogoro?

Nina wasiwasi na hawa viongozi wa Simba inaweza kuwa sio wenzetu hawa
Sasa mwenyekiti ni Mangungu, unategemea nini hapo?
 
Hivyo ni visingizio tu... Ila wenye akili walishajua Simba ni mbovu na kinachotafutwa no sababu za kutokuchukua NBC league! . Mashabiki ya Simba ni sawa na wabunge wa CCM tu yanadanganywa kwa mafanikio ya whtup app, shabiki bora[emoji28][emoji28][emoji28].
Aisee kumbe wamechagua uwanja mbovu ili wapate sabbu
 
Wewe jamaa fala sana. Unasema ni wewe ni utopolo halafu tena unasema viongozi wa simba huenda sio wenzenu.
 
Mara mia simba wangeutumia hata uwanja wa meja jenerali isamuyo kule mbweni kuliko huo utopolo wa jamuhuri ambao nyasi zake ni ukoka na ndago zinazofyekwa kwa kutumia makwanja
 
Back
Top Bottom