Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

Sioni sababu kwakweli...sijajua sababu..au wanadhani majini yako kwny kona zote za vibendera?

Huo uwanja wa sokoine utatuzamisha..hakuna timu ya kariakoo au tuseme za daslamu ambazo ziko comfortable kwnye viwanja wa vya mikoani.

Angalia matokeo ya timu zote, huu ni utopolo walai..
🤣🤣🤣👌👌
 
Japo mimi ni utopolo lakini hawa ndugu zetu wamezidi umbumbumbu. Hivi hawa viongozi wa simba nani kawaloga? Hivi wanashindwa vipi kuuchagua uwanja wa Chamazi kwa ajili ya mechi zake za nyumban?

Je wana sababu yoyote ya msingi? Hivi timu kuipeleke mkoani kuikodishia hoteli, kuikodishia uwanja wa mazoezi, kusafirisha viongozi na mashabiki, hizi gharama hawaoni km ni kumbebesha mzigo Mo dewj?

Ok njoo sasa kwenye kiwanja wa mechi wenyewe cha Jamhuri ni utopolo mtupu, yani ni mwendo wa butua butua.

Je uongozi wa Simba umeona kabisaa ujiongezee gharama za matumizi kwa ajili ya kwenda kupoteza points huko morogoro?

Nina wasiwasi na hawa viongozi wa Simba inaweza kuwa sio wenzetu hawa
morogoro ni uwanja wa simba
 
Gharama kubwa upigaji mkubwa. Hii ndiyo principle ya bongo. Unauliza makofi polisi?
 
Japo mimi ni utopolo lakini hawa ndugu zetu wamezidi umbumbumbu. Hivi hawa viongozi wa simba nani kawaloga? Hivi wanashindwa vipi kuuchagua uwanja wa Chamazi kwa ajili ya mechi zake za nyumban?

Je wana sababu yoyote ya msingi? Hivi timu kuipeleke mkoani kuikodishia hoteli, kuikodishia uwanja wa mazoezi, kusafirisha viongozi na mashabiki, hizi gharama hawaoni km ni kumbebesha mzigo Mo dewj?

Ok njoo sasa kwenye kiwanja wa mechi wenyewe cha Jamhuri ni utopolo mtupu, yani ni mwendo wa butua butua.

Je uongozi wa Simba umeona kabisaa ujiongezee gharama za matumizi kwa ajili ya kwenda kupoteza points huko morogoro?

Nina wasiwasi na hawa viongozi wa Simba inaweza kuwa sio wenzetu hawa
Wakifungwa Morogoro hawazomewi sana kulingana na zomeo ambalo hulipokea wawapoChamazi
 
Kwenye kabumbu bado hujakomaa!
Usiniulize kwa nini!
 
Back
Top Bottom