Hivi kuna Sababu zozote kwa Simba kuacha kuutumia Uwanja wa Chamazi?

Hivyo ni visingizio tu... Ila wenye akili walishajua Simba ni mbovu na kinachotafutwa no sababu za kutokuchukua NBC league! . Mashabiki ya Simba ni sawa na wabunge wa CCM tu yanadanganywa kwa mafanikio ya whtup app, shabiki boraπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Sasa mwenyekiti ni Mangungu, unategemea nini hapo?
 
Aisee kumbe wamechagua uwanja mbovu ili wapate sabbu
 
Ubovu wa uwanja kivipi,mbona Yanga amecheza na KMC round hii ya pili hapo hapo Moro na alishinda kwa goli tatu.
Kushinda kwny uwanja mbovu inawezekana, lakini kwa timu iliyojipanga sio hawa 5imba
 
Wewe jamaa fala sana. Unasema ni wewe ni utopolo halafu tena unasema viongozi wa simba huenda sio wenzenu.
 
Mara mia simba wangeutumia hata uwanja wa meja jenerali isamuyo kule mbweni kuliko huo utopolo wa jamuhuri ambao nyasi zake ni ukoka na ndago zinazofyekwa kwa kutumia makwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…