Hivi kuna sehemu kuna kelele kama Mbezi Louis stend ya daladala?

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
258
Reaction score
393
Nimepita hapa naelekea kwenye mishe. Yaani kuna kelele za kufa mtu.

Sio binadamu sio sauti za kurecodi vispika vya wauza nguo, dagaa, wanaosajili line. nk kuna kelele mno.

Siajabu hawa watu wanaathirika bila habari.

Nilipigiwa simu nikawa sielewani na niliyeonhea nae, baadae nikarejea kusikiliza hii record yaani ni kelele kama kuzimu.

Jamani unaotumia usafiri binafsi na mnaonunulia mahitaji enu supermarket huku ni kuzimu.

Watu wengi kijia cha kupanda na kushuka kuelekea daladala za segerea na g mboto kinajaa watu, walemavu yaani hapa magonjwa hayakosekani. Vitu kama tb na mengine ya maambukizi hapa ndio pake.

Ukishapanda gari ukitoka hapa unashukuru maana sio joto, sio vurugu. Zimejaa hapa.

Serikali na wataalam wa afya na majanga watupie macho eneo hili.

Ni ushauri tu
 
Mtoa mada inaonekana hujawahi katiza Kariakoo na Karume hayo ndio makao makuu ya kelele nchini
Mbezi kkoo kuna afadhali,mbezi kila biashara ina kispika na kuna biashara za kila aina,hadi muuza headphone fake mbezi ana kispika,halafu sehemu yenyewe ni ndogo mno,biashara hadi kwenye mifereji ya maji machafu!serikali imewaachia tu wapiga kura wake wachill maeneo hatarishi kama yale!
 
Mkuu mbona hayo yote uliyoyaelezea kariakoo na karume yapo tena na zaidi, sasa ukisema mbezi vipi tandika and the likes nayo tusemeje maana hayo ndio masoko ya level yake, na hayo yote hayaoni ndani kwa kariakoo na karume
 
Nimepita hapa naelekea kwenye mishe. Yaani kuna kelele za kufa mtu.

Sio binadamu sio sauti za kurecodi vispika vya wauza nguo, dagaa, wanaosajili line. nk kuna kelele mno.

Siajabu hawa watu wanaathirika bila habari.

Nilipigiwa simu nikawa sielewani na niliyeonhea nae, baadae nikarejea kusikiliza hii record yaani ni kelele kama kuzimu.

Jamani unaotumia usafiri binafsi na mnaonunulia mahitaji enu supermarket huku ni kuzimu.

Watu wengi kijia cha kupanda na kushuka kuelekea daladala za segerea na g mboto kinajaa watu, walemavu yaani hapa magonjwa hayakosekani. Vitu kama tb na mengine ya maambukizi hapa ndio pake.

Ukishapanda gari ukitoka hapa unashukuru maana sio joto, sio vurugu. Zimejaa hapa.

Serikali na wataalam wa afya na majanga watupie macho eneo hili.

Ni ushauri tu
wew utakua mgen dar nin? Njo nahuku rangi tatu
 
Back
Top Bottom