Hivi kuna sehemu kuna kelele kama Mbezi Louis stend ya daladala?

Watu wengi kijia cha kupanda na kushuka kuelekea daladala za segerea na g mboto kinajaa watu, walemavu yaani hapa magonjwa hayakosekani
Hizo ngazi kwenye kinjia hicho ni meza za wachuuzi...

Mbezi Luis stand ni eneo chafu na halina mpangilio, limezungukwa na mahema kama kambi ya wakimbizi, matoroli ya Wafanyabiashara yameziba njia za watembeao kwa miguu....

Hapo utagundua kuwa wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu usafi na mpangilio mzuri wa mazingira....

Zaidi naona wenye tatizo sio raia bali ni viongozi wa halmashauri ya manispaa ambao wameshindwa kulifanya hilo eneo kuwa la kuheshimika.
 
Nimepita hapa naelekea kwenye mishe. Yaani kuna kelele za kufa mtu.

Sio binadamu sio sauti za kurecodi vispika vya wauza nguo, dagaa, wanaosajili line. nk kuna kelele mno.

Siajabu hawa watu wanaathirika bila habari.

Nilipigiwa simu nikawa sielewani na niliyeonhea nae, baadae nikarejea kusikiliza hii record yaani ni kelele kama kuzimu.

Jamani unaotumia usafiri binafsi na mnaonunulia mahitaji enu supermarket huku ni kuzimu.

Watu wengi kijia cha kupanda na kushuka kuelekea daladala za segerea na g mboto kinajaa watu, walemavu yaani hapa magonjwa hayakosekani. Vitu kama tb na mengine ya maambukizi hapa ndio pake.

Ukishapanda gari ukitoka hapa unashukuru maana sio joto, sio vurugu. Zimejaa hapa.

Serikali na wataalam wa afya na majanga watupie macho eneo hili.

Ni ushauri tu
Pita tandika kwanza na pale karume alafu uje kuandika tena
 
Mbezi kkoo kuna afadhali,mbezi kila biashara ina kispika na kuna biashara za kila aina,hadi muuza headphone fake mbezi ana kispika,halafu sehemu yenyewe ni ndogo mno,biashara hadi kwenye mifereji ya maji machafu!serikali imewaachia tu wapiga kura wake wachill maeneo hatarishi kama yale!
Kwa tz mbezi namba moja sijui wale watu wanatoka wapi
 
Mkuu mbona hayo yote uliyoyaelezea kariakoo na karume yapo tena na zaidi, sasa ukisema mbezi vipi tandika and the likes nayo tusemeje maana hayo ndio masoko ya level yake, na hayo yote hayaoni ndani kwa kariakoo na karume
Hayo maeneo uliyoyataja ni makubwa,mbezi mwisho akukuandaliwa kwa biashara,ni padogo mno kwa ile population,pale mbezi sio soko ni stendi ya mabasi
 
Hizo ngazi kwenye kinjia hicho ni meza za wachuuzi...

Mbezi Luis stand ni eneo chafu na halina mpangilio, limezungukwa na mahema kama kambi ya wakimbizi, matoroli ya Wafanyabiashara yameziba njia za watembeao kwa miguu....

Hapo utagundua kuwa wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu usafi na mpangilio mzuri wa mazingira....

Zaidi naona wenye tatizo sio raia bali ni viongozi wa halmashauri ya manispaa ambao wameshindwa kulifanya hilo eneo kuwa la kuheshimika.
Sasa hivi mdogo mdogo wanaanzia kuhamia kwenye barabara za kuingillia mbezi stendi kama unatokea goba,na serikali inawaangalia,full miamvuli na nylon aisee!ile sehemu kuna interchange nzuri TZ nzima hakuna,ila aionekani sababu wamachinga wamepanga meza zao hadi barabarani!
 
Pako na uchafu kama wote yaani pametelekezwa kabisa hapafanani na jiji la Dar, viongozi wa hiyo manispaa wameshindwa kazi kabisa
 
Mtoa mada inaonekana hujawahi katiza Kariakoo na Karume hayo ndio makao makuu ya kelele nchini
Kariakoo ni balaa,nilikuwa sijafika kama miaka 4 hivi,hapa juzi nikakatiza,kwakweli hakufai,niliingilia hapa klabu ya Simba kuelekea mnazi mmoja yani hata watu kupishana ni shida...
 
Dar es salaam ni Jiji la mateso sana kwa watu wa kipato cha chini na kile cha kati.
 
Mbezi kkoo kuna afadhali,mbezi kila biashara ina kispika na kuna biashara za kila aina,hadi muuza headphone fake mbezi ana kispika,halafu sehemu yenyewe ni ndogo mno,biashara hadi kwenye mifereji ya maji machafu!serikali imewaachia tu wapiga kura wake wachill maeneo hatarishi kama yale!
Kkoo kuna spika za Night club kabisa mkokoteni mzima Umejaa spika, akipiga mitaa 3-4 kote unasikia, wakikaa kadhaa karibu hakulaliki hapo,
 
Nimepita hapa naelekea kwenye mishe. Yaani kuna kelele za kufa mtu.

Sio binadamu sio sauti za kurecodi vispika vya wauza nguo, dagaa, wanaosajili line. nk kuna kelele mno.

Siajabu hawa watu wanaathirika bila habari.

Nilipigiwa simu nikawa sielewani na niliyeonhea nae, baadae nikarejea kusikiliza hii record yaani ni kelele kama kuzimu.

Jamani unaotumia usafiri binafsi na mnaonunulia mahitaji enu supermarket huku ni kuzimu.

Watu wengi kijia cha kupanda na kushuka kuelekea daladala za segerea na g mboto kinajaa watu, walemavu yaani hapa magonjwa hayakosekani. Vitu kama tb na mengine ya maambukizi hapa ndio pake.

Ukishapanda gari ukitoka hapa unashukuru maana sio joto, sio vurugu. Zimejaa hapa.

Serikali na wataalam wa afya na majanga watupie macho eneo hili.

Ni ushauri tu
Pole sana. Hii ndiyo Bongo land.
 
Nchi hii kuna sehemu haina kelele? Ni makelele, uchafu, harufu za ajabu ajabu! Yaani vurugu mechi!
 
Back
Top Bottom