Hivi kuna Sheria inayolinda miradi iliyoanzishwa na Rais John Magufuli?

Yeye mwenyewe katekeleza katiba mpya
 
Mleta mada, umeilizaje hayo wakati hakuna tena “serikali ya uwazi na ukweli”, “ari mpya kasi mpya”, “kilimo kwanza”???

Au unayotaka kuona yanalindwa ni ya sasa tu??

Jiongeze kidogo mkuu.
 
Hakuna sheria ya kulinda hiyo miradi na kuna mradi ule wa daraja la Kigongo busisi ni unatakiwa umpeleke jela kwa matumizi mabaya ya madaraka. Unaenda kujenga daraja la mabilioni kupeleka maeneo ambayo kiuhalisia hayastahili!
Wewe mpumbavu unajua kero za miaka mingi, iliyosababishalwa na vifo kutokana na ajali za majini na wagonjwa kucheleweshwa hospitali, kuchelewa kwa biashara na safari za wananchi? Tukiwaita hamna akili mna kasirika alafu mnataka m hukue nchi hii !
 
Mkuu hivi kweli inaingia akili kutunga sheria ya kulinda miradi kama ya hii ya hifadhi ya wanyama "immigrants" ya Burigi na uwanja wa ndege wa Chato!
 
Miradi ya watangulizi inalindwa na sheria zipi?
 
Wewe mpumbavu unajua kero za miaka mingi, iliyosababishalwa na vifo kutokana na ajali za majini na wagonjwa kucheleweshwa hospitali, kuchelewa kwa biashara na safari za wananchi? Tukiwaita hamna akili mna kasirika alafu mnataka m hukue nchi hii !
Vifo kila mahali vinatokea
 
Jana mpaka kufikia saa moja nilikuwa nimeshaanza kuaga familia na kwenda msituni ila baada ya kuwasha data nikarudi.
Ujinga hatutaki mwaka huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah mkuu ulikua na hasira sana.
 
..mimi nalia na ikulu mpya ya chamwino.

..ikulu aliyotuachia Mwalimu Nyerere inatosha.

..mapesa wanayotaka kuyatumia ni bora yakajenge miradi ya kilimo cha umwagiliaji, au wajenge viwanda.
Serikali haina miradi ya vipaumbele ambayo ingemnufaisha mwananchi moja kwa moja.
 
Hii ni miradi ya nchi au ni miradi ya Magufuli ?
 
Mingi itakufa yenyewe tukianzia na ndege ambazo zimepakiwa viwanjani na inasemekana zimekuwa zikiingiza hasara tangu zinunuliwe. Uwanja wa kimataifa wa chattle utakufa wenyewe kwani umejengwa porini na hakuna watalii wala wasafiri wa nje. Mabarabara mengi ni kiwango cha chini yatakufa yenyewe.
 
Hiyo sheria itakayotungwa ka kuilinda miradi ya Maghufuli iambatanishwe na fungu la pesa la kundeleza miradi hiyo kwa Raisi

Msije mkamshtaki kwa kutoendeleza wakati uenda budget yake haitotosha kuendeleza ya nyuma
 
sahii kabisa mkuu
 
Kuna vipisha vya NYHP vinaonesha hakuna watu wala winchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…