Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Bandiko hili ni la 2016!, marafiki wakubwa, sasa ni paka na panya!.
Kile kiwanja ni kama walimpa bure kwasababu atakuwa ni wao ndio waliompa pesa za kukinunua, wakamuuzia, wakampa hati. Kosa lake, hakubadili jina, hivyo wakamzunguka kwa kuripoti hati imepotea, ikatolewa hati mpya na sasa wanajidai hawakuwahi kumuuzia.
ukweli ni huu

Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu.

Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.

Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo

Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
Accroding to GSM, kiwanja amenunua 2013. Viwanja vya maeneo hayo vimetolewa kwenye miaka ya 70, hiyo ina maana GSM alinunua kwa mwenye kiwanja cha awali. Inabidi tujue kilikuwa cha nani kabla. Hii kesi ni ngumu GSM anaweza kuwa ana title kwa jina lake lakini ni mara ngapi mtu ukanunua kiwanja chenye title lakini usibadilishe jina kutokana na mlolongo kuwa mrefu. Watu wengi wanatumia sales agreement. Inawezekana GSM walimpa Makonda na sasa wamemrudi baada ya kuona hana impact.
 
Makonda hana pesa ya kununuwa kiwanja kwa GSM, hicho kiwanja alipora enzi za Baba yake wakati huo Bashite akiwa ni Mungu wa Darisalaam, kwakuwa Bashite ni zero brain hakufanya transfer ambapo kwa mamlaka aliyopewa na Baba yake zama hizo transfer ingefanyika ndani ya lisaa limoja tu wizarani.

Ila mara nyingi Mungu huwanyima maono waovu wote duniani, kwa kifupi Bashite hapo hana chake na wala hakustahili kuwa mmiliki wa hiyo plot, na kisheria mwenye hati ndio mwenye kiwanja.

Case closed.

Takukuru huu ndio muda wenu wa kumchunguza Makonda alipata wapi pesa za kununuwa kiwanja prime area?

Wakati kuna watumishi wa serikali kwa zaidi ya miaka 40 hawawezi kununuwa kiwanja maeneo hayo? Je Takukuru wana double standard au huwa ni kwa ajili ya watu fulani tu?
 
Point sn
 
Acha Chuki mkuu
 
Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?

Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.

Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.

Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.

Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.

Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake waliopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoteza tu uwezo wa kuona tena?

Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.

Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.

Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?

Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.

Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.

Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.

Cc: Pasco Manyerere Jackton
Saa hizi wamekuwa chui na paka,wanavuana chupi hadharani.
 
Mkuu samora10 , tatizo kubwa la wana JF wengi, hawapendi kujishughulisha kusoma, kuona au kusikiliza vitu in deep ili kupata maarifa, hivyo hawajui hata historia za watu. Kama na wewe ni mtu wa kundi hilo, endelea kuamini Makonda sio mpakwa mafuta wa Bwana, lakini kama unapenda kupata maarifa, karibu HAPA!
Huyu jamaa wa GSM, kiukweli kabisa, wala hana shida na hicho kiwanja, ni wao walimpa Makonda pesa za kukinunua kiwanja chao, wakamkabidhi hati, kosa la Makonda, hakubadili jina, hivyo jamaa wakaamua kumdhalilisha kwa kumdhulumu kwa kumpora, kwa kwenda Ardhi kudai hati imepotea, wakapewa hati nyingine, kisha kujifanya hawakuwahi kumuuzia Makonda, and to repossess kiwanja chao, ili tuu kumdhalilisha!.
Mungu hapendi dhulma, hivyo kwenye hili ni Mungu atampigania Makonda.
P.
Inawezekana kuna Mungu wa aina mbali mbali aisee... Hatutakiwi kujudge but kama mungu yupo mmoja kama ambavyo naamini mimi huyo jamaa hapana
 
nani we sukuma gang Pascal Mayalla ?
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Hapa nakuunga mkono!.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
 
Sukuma Gang lipo... Itikadi yao inajulikana. Wanapambania nini, kwa nini na dhidi ya nani pia Iko wazi!
Hao Sukuma Gang litakuwa anguko la ccm!
 
Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?

Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.

Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.

Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.

Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.

Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake waliopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoteza tu uwezo wa kuona tena?

Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.

Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.

Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?

Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.

Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.

Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.

Cc: Pasco Manyerere Jackton
umesahau namba yako ya simu namba ya nyumba na mtaa
 
Back
Top Bottom