Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Ukisema wa pili unakosea, but kwa kiasi kikubwa watoto wa katikati between kifungua mimba na kitinda mimba, either hua wanafanikiwa sana au wanazingua sana. Kwa obzaveshen yangu (haijawa proved kisayansi) nimeona hizi sababu
1. Hua hawaogopi kutake risks kwasababu hawana nidhamu ya woga kama first borns ambao most times wanalazimishwa kuwa watiifu na mfano.
2. Hua hawapati ile cloose attention kama mtoto wa kwanza na wa .wisho hivo inawasaidia kupata uchungu wa kutafuta kwa nguvu zaidi ili wawe recognized
3. Hawapati favors nyingi compared to wenzao so wanaanza kujitafutia maisha mazuri mapema zaidi
4. Hawatumiki kama mfano kwa wenzao so wana wigo mpana wa kujaribu na kukosea