Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Habarini! M/Mungu aendelee kuwajaalia afya njema!

Naomba kujua kuhusu uwepo wa spray ya kusafishia masofa. Inaitwaje na gharama zake zikoje?

Ahsanteni
 
Nje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
 
Nje ya boksi:-
Je kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Nafikiri wadau watasaidia
 
Karibu

Ila kama haitodhuru, naweza kuifanya pia ni kazi zangu hizo pamoja na kusafisha Mazuria
ahsante sana kiongozi, nimekuelewa vizuri.......ikilazimu tutawasiliana. upo mkoa gn ndugu?
 
Karibu

Ila kama haitodhuru, naweza kuifanya pia ni kazi zangu hizo pamoja na kusafisha Mazuria

Mkuu kwa Mazulia usafi wake inakuwaje tafadhali? Je, kuna spray inaweza safisha bila kuloanisha kwa maji?
Kuna watu niliwapa wakatumia maji naona mazulia hayajatakata vizuri na yanatoa harufu. Imebidi niyatoe kwanza.
 
Nje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Petrol inasaidia sana mkuu
 
Back
Top Bottom