Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

Mkuu kwa Mazulia usafi wake inakuwaje tafadhali? Je, kuna spray inaweza safisha bila kuloanisha kwa maji?
Kuna watu niliwapa wakatumia maji naona mazulia hayajatakata vizuri na yanatoa harufu. Imebidi niyatoe kwanza.
Spray ipo ila pia inategemea na namna lilivyochafuka, nikueleze kitu tu ndugu. Usafi wa Mazuria hata nguo tu ni very complicated na inahitaji uangalizi wa karibu sana. Ila likisafishwa vyema kwa maji mengi na sabuni hiyo harufu unayoilalamikia hutoisikia
 
Kuna jambo la msingi unalotakiwa kulifanya kabla ya yote katika usafishaji wa Masofa au Mazuria. Unatakiwa ulivute kwanza vumbi lililomo humo ndani ya hizo kitu
 
Mkuu kwa Mazulia usafi wake inakuwaje tafadhali? Je, kuna spray inaweza safisha bila kuloanisha kwa maji?
Kuna watu niliwapa wakatumia maji naona mazulia hayajatakata vizuri na yanatoa harufu. Imebidi niyatoe kwanza.

za mazulia dawa nzur za kusafisha zipo mkuu kwa bei nzuri
 
Nje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.

zipo dawa nzuri mkuu nauza kwa bei nzuri
 
Ok, ila bado nakusihi. Usije jaribu kusafishia Petrol
Ipi inafaa?
Toa maelekezo watu wajifanyie self service maana sio woté wanaweza kuja ofisiñ kwako Dar au Dodoma
 
Ipi inafaa?
Toa maelekezo watu wajifanyie self service maana sio woté wanaweza kuja ofisiñ kwako Dar au Dodoma
Nenda kwa fundi viatu umuulize ila na yeye kama atakwambia anasafishia Petrol achama nae. Petrol inamaliza kiatu huwez amini
 
Nenda kwa fundi viatu umuulize ila na yeye kama atakwambia anasafishia Petrol achama nae. Petrol inamaliza kiatu huwez amini
Si uweke hiyo njià Mbadala kwa faida ya wote humu
 
Huenda Ni siri[emoji19][emoji19]
Hapo ndipo kwenye shida.
Ingekuwa jukwaa là Tech au JF doctors unapewa msaada bila ya kuzunguka sana......
Mambo ya mwamba ngoma ñi shidaa
 
Back
Top Bottom