Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

Hivi kuna spray ya kusafishia masofa/makochi?

Nje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Nunua poda yoyote ile fua au loanisha but yako alafu nyunyizia Poda sehemu yote anika likauke chukua brashi laini ondoa Poda mdogo mdogo mpaka utakapoona buti imekaa mkao alafu chukua simu yako piga picha buti share hapa nawenzio wajifunze huna haja ya mapetrol
 
Si uweke hiyo njià Mbadala kwa faida ya wote humu
Mtu kauliza aelekezwe yeye kapata fursa ya biashara, sasa kama hana msaada si angekaa kimya tu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Kama upo Insta,mfollow @hellen_usafi,naamini utapata suluhu
 
Unaiuzaje na ina ujazo gani

Sorry mkuu kuchelewa kukujibu dawa za kusafisha vitambaa,masofa,vyoo,carpert ziko za aina tatu:

wax wash kwa ajili ya uchafu wa magari na engine-1ltr -75000
Carpert glo kwa ajili ya carpet nk 1ltr-66500
Super 10 kwa ajii ya vyoo 1ltr- 63000
 
Back
Top Bottom