Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nunua poda yoyote ile fua au loanisha but yako alafu nyunyizia Poda sehemu yote anika likauke chukua brashi laini ondoa Poda mdogo mdogo mpaka utakapoona buti imekaa mkao alafu chukua simu yako piga picha buti share hapa nawenzio wajifunze huna haja ya mapetrolNje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Mtu kauliza aelekezwe yeye kapata fursa ya biashara, sasa kama hana msaada si angekaa kimya tu[emoji134][emoji134][emoji134]Si uweke hiyo njià Mbadala kwa faida ya wote humu
Hapo sasaMtu kauliza aelekezwe yeye kapata fursa ya biashara, sasa kama hana msaada si angekaa kimya tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Kama upo Insta,mfollow @hellen_usafi,naamini utapata suluhuNje ya boksi:-
Je, kuna spray au dawa ya kusafishia safari boot bila kuathiri ubora wake.
Au aneyejua jinsi ya kusafisha viatu jamii ya safari boot anielekeze tafadhali.
Unaiuzaje na ina ujazo gani
Heee😳😳😳 mara unavaa2 zimewaka🤣🤣Petrol inasaidia sana mkuu