Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kuvipa sifa vitu vya kijinga..
hudda ana uzuri gani??
wa kukaa uchi na kunyoa pank labda...
watoto wakali Tz tunao

huddah ashindane na vera kwanza afu aje
tenaa.
 
Haki ya nani kama ningekua Demu wako mimi kuanzia muda umeandika hii post ningesitisha huduma maana anakuvumilia kwa mengi kwa uvundo ulionao unazidi maji ya samaki alafu akili zote umehamishia kumsifia Huda
 
tatzo wanaume wanadnganywa sna na make up. w/wke ndo siri ztu hzo
Mfyuu hawajuagi wazuri..... Make up zinawazuzua wakilala nao wakiamka nao sasa ?!unaweza muamkia shkamoo mama plus ukute Na papuche inakuwa imesoma mailej kuliko za wazazi wao wa kike!! unapiga yowe Hahahaha ndo chanzo cha kuwanyanganya magari hahaha


[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nani huyo mchafu

Mchafu mchafu yule dada hilo ndio tatizo lake...[/QUOTE]
 
mkorogo wa bei rahisi
tatizo wa bongo tunajiweka cheap sana tofauti na wakenya wenzetu wako classy ma diva wao!
Uzuri nao unachangia maana Kama sio mzuri hata ukitumia vipodozi vya bei kubwa utabaki tu kuwa wa kawaida!
 
Kwa vile umesema kwa walio maarufu sawa,kinyume na hivo huyo anasubiri sana kwa mchepuko wangu.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mzuri ni ambae ujamsugua tu ukishapiga unaona kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…