beutygirl
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 534
- 378
hahahaha umenfurahisha.ndo kanani haka mbona kanaonekana kabaya tu, mwambie afute hayo mauchafu ya usoni tumuone vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha umenfurahisha.ndo kanani haka mbona kanaonekana kabaya tu, mwambie afute hayo mauchafu ya usoni tumuone vizuri
yes. hata hyo shepu na pua all surgery plus make up za kila siku. theres no day ametoka nnje wothout a heavy make up.
ofcourse hujakosea.Kweli uzuri uko kwenye jicho la mtazamaji.
Kila mtu anapost anayemwon mzuri lakini na mimi naona wa kawaida hao
Hata lulu anamshinda kwakweliSiongezi neno!View attachment 394940 View attachment 394941
Huyu ndio Malaika. Ni hatari sana
tenaa.khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kuvipa sifa vitu vya kijinga..
hudda ana uzuri gani??
wa kukaa uchi na kunyoa pank labda...
watoto wakali Tz tunao
huddah ashindane na vera kwanza afu aje
Haki ya nani kama ningekua Demu wako mimi kuanzia muda umeandika hii post ningesitisha huduma maana anakuvumilia kwa mengi kwa uvundo ulionao unazidi maji ya samaki alafu akili zote umehamishia kumsifia HudaView attachment 394795View attachment 394796View attachment 394797View attachment 394798hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata ngoja tu niendelee na michakato yangu ya uvuvi na kumtamani kwenye picha tu!View attachment 394808
Mfyuu hawajuagi wazuri..... Make up zinawazuzua wakilala nao wakiamka nao sasa ?!unaweza muamkia shkamoo mama plus ukute Na papuche inakuwa imesoma mailej kuliko za wazazi wao wa kike!! unapiga yowe Hahahaha ndo chanzo cha kuwanyanganya magari hahahatatzo wanaume wanadnganywa sna na make up. w/wke ndo siri ztu hzo
Acheni nyodo nyie wenyewe vijidem vyenu vinasubiri pale mpe mtu heshima yake hata kama humkubali huwez muita uchafu au takataka!
!
ndio kwani uongo?
special occasions only.Wewe je?
hutumii make ups?
sio mama...bibi kabisa. hahahaMfyuu hawajuagi wazuri wakilala nao wakiamka nao sasa unaweza muamkia shkamoo mama
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Acheni nyodo mmxiii nyie wenyewe vijidem vyenu vinasubiri pale mpe mtu heshima yake hata kama humkubali huwez muita uchafu au takataka
Tuwekee Wa kwako tumuone!
!
Mchafu mchafu yule dada hilo ndio tatizo lake...
Uzuri nao unachangia maana Kama sio mzuri hata ukitumia vipodozi vya bei kubwa utabaki tu kuwa wa kawaida!mkorogo wa bei rahisi
tatizo wa bongo tunajiweka cheap sana tofauti na wakenya wenzetu wako classy ma diva wao!
like which one?special occasions only.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwa vile umesema kwa walio maarufu sawa,kinyume na hivo huyo anasubiri sana kwa mchepuko wangu.
![]()
shughuli yyte ntakayokuwa invited.like which one?
aaaaaaah kwel kula kwa eyes