For sure Huddah is not that attractive. Sijasema ni mbaya ila she is not beautiful. Yani wakawaida sana,Hehehehh uzuri upo machoni mwa mtu
Kile kisu hatari sana [emoji145]wekeni za nancy shumari
I wish ungemuona uhalisia wake miaka kadhaa iliyopita, in short she's too artficial.View attachment 394795View attachment 394796View attachment 394797View attachment 394798hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata ngoja tu niendelee na michakato yangu ya uvuvi na kumtamani kwenye picha tu!View attachment 394808
Weka na ya mother house sasa!Kwa vile umesema kwa walio maarufu sawa,kinyume na hivo huyo anasubiri sana kwa mchepuko wangu.
Hayo ni maneno ya kuwafariji wanawake ambao sio wazuri/warembo. Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume anapenda kuishi na mwanamke mzuri/mrembo ila kila mwanaume humtolea macho mwanamke mrembo na pia hutamani kulala nae at least once.beauty is in the eye of the beholder
Ndugu yangu umeniwahi,naogopa kuitwa fataki,ila haka kabinti ni kazuri aisee,hembu nimwague mkanda wake huko.Huyu ndio Malaika. Ni hatari sana
Unadhani kuna mwanamke mzuri/mrembo kwa universal standards?..I mean ''Universal'' literally..Mzuri kwako aweza asiwe mzuri kwa wengine..that's a FACT.Hayo ni maneno ya kuwafariji wanawake ambao sio wazuri/warembo. Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume anapenda kuishi na mwanamke mzuri/mrembo ila kila mwanaume humtolea macho mwanamke mrembo na pia hutamani kulala nae at least once.