Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Huddah sio mzuri kajiweka weka tu, u diva fulani, but she is not attractive as such.. Kuna warembo bwana ukimwona mpaka unashikwa tumbo la kuhara
 
View attachment 394795View attachment 394796View attachment 394797View attachment 394798hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata ngoja tu niendelee na michakato yangu ya uvuvi na kumtamani kwenye picha tu!View attachment 394808
I wish ungemuona uhalisia wake miaka kadhaa iliyopita, in short she's too artficial.
 
urembo ungekuwa kipaji cha mpira basi huyo angekuwa anacheza kwa mkopo Mwadui FC.
 
Kama huyu ndo wa kwenye BBA,basi kabadirika sana
 
Hivi sifa za uzuri wa mwanamke ni zipi, weupe, wanja, macho madogo, makalio makubwa ...?
 
Kwa vile umesema kwa walio maarufu sawa,kinyume na hivo huyo anasubiri sana kwa mchepuko wangu.
black-teen-girl.jpg
Weka na ya mother house sasa!
 
Hahaaaaaa kumbe huu ndio uzuri [emoji4]
 

Attachments

  • 1473680193265.jpg
    1473680193265.jpg
    33.2 KB · Views: 244
beauty is in the eye of the beholder
Hayo ni maneno ya kuwafariji wanawake ambao sio wazuri/warembo. Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume anapenda kuishi na mwanamke mzuri/mrembo ila kila mwanaume humtolea macho mwanamke mrembo na pia hutamani kulala nae at least once.
 
Uzuri ni gharama sana, mwanamke anatakiwa ale sana matunda na vyakula vya asili, pia anywe maji mengi. Pili lazma afanye mazoezi ili kuondoa manyama uzembe na kitambi. Tatu apunguze kunywa pombe na chemicals kama soda.
Sasa wanawake wa Dar uta waua kwanza ndio waache kula kitimoto rost, michemsho, Chipsi na kunywa bia. Altenative ya kula vitu hivyo ni kuwa na pesa na kula madawa ya kuregulate mafuta mwilini na kununua mamake up ya kutosha.
 
Kwan huyo Huddah anafanya issue gan ni model au??
 
Hayo ni maneno ya kuwafariji wanawake ambao sio wazuri/warembo. Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume anapenda kuishi na mwanamke mzuri/mrembo ila kila mwanaume humtolea macho mwanamke mrembo na pia hutamani kulala nae at least once.
Unadhani kuna mwanamke mzuri/mrembo kwa universal standards?..I mean ''Universal'' literally..Mzuri kwako aweza asiwe mzuri kwa wengine..that's a FACT.
 
Back
Top Bottom