Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Haingii hapa

SHILOLE.jpg


shishi-jpg.330126
mkorogo wa bei rahisi
tatizo wa bongo tunajiweka cheap sana tofauti na wakenya wenzetu wako classy ma diva wao!
 
Kwa vile umesema kwa walio maarufu sawa,kinyume na hivo huyo anasubiri sana kwa mchepuko wangu.
black-teen-girl.jpg

Mkuu hii mali bado unaifanya mchepuko? Utalia muda sio mrefu, ngoja akina MO11 wapite mitaa hii.
 
khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kuvipa sifa vitu vya kijinga..
hudda ana uzuri gani??
wa kukaa uchi na kunyoa pank labda...
watoto wakali Tz tunao

huddah ashindane na vera kwanza afu aje
 
Kwa kiswahili cha Nairobi kanaitwa 'kademu kasupu'.
 
Back
Top Bottom