Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Wacha nibaki na vitu vyangu vya uswazi ,huku kuna balaa ,
 
Haingii hapa

SHILOLE.jpg


shishi-jpg.330126
Amevaa zaga hapo sio o.g
 
huyu ndio mie ananila hela zangu...ana amsha amsha hatari ila ajiachie kidogo makalio yafumuke maana raha ya nyumba ni choo.
 
Mfyuu hawajuagi wazuri..... Make up zinawazuzua wakilala nao wakiamka nao sasa ?!unaweza muamkia shkamoo mama plus ukute Na papuche inakuwa imesoma mailej kuliko za wazazi wao wa kike!! unapiga yowe Hahahaha ndo chanzo cha kuwanyanganya magari hahaha


[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahaha
 
Back
Top Bottom