Hivi kuna staa mrembo Africa Mashariki wa kumuzidi Huddah uzuri?

Ninachokipenda kuhusu mademu wa Kenya/Ug ni vichwa, yani wanajielewa sana, nimeshawasikiliza interview za zari, huddah na vera yani wako smart sana kichwani na ni wajanja sana ndio maana hawafanyi umalaya cheap, wao umalaya wao ni international coz lugha inapanda na wana IQ kubwa tofauti na mademu wa kibongo, wengi wazuri wa sura na shepu but kichwani hamna kitu, sikiliza interview ya wema, shilole, aunty Ezekiel, wolper, johari utajua ninachomaanisha, nawatoa jide na demu wa jux nimemsahau jina
 
Huddah ni mrembo kwa kweli, napenda tu ka mwili kake na sura
 
Unadhani kuna mwanamke mzuri/mrembo kwa universal standards?..I mean ''Universal'' literally..Mzuri kwako aweza asiwe mzuri kwa wengine..that's a FACT.
Duniani huwezi kupata kitu kinachopendwa na kila mtu au kinacho kubaliwa na kila mtu. Tunacho angalia ni percentage ya wanao kikubali au kukipenda hicho kitu.
 
Ninachokipenda kuhusu mademu wa Kenya/Ug ni vichwa, yani wanajielewa sana, nimeshawasikiliza interview za zari, huddah na vera yani wako smart sana kichwani na ni wajanja sana ndio maana hawafanyi umalaya cheap, wao umalaya wao ni international coz lugha inapanda na wana IQ kubwa tofauti na mademu wa kibongo, wengi wazuri wa sura na shepu but kichwani hamna kitu, sikiliza interview ya wema, shilole, aunty Ezekiel, wolper, johari utajua ninachomaanisha, nawatoa jide na demu wa jux nimemsahau jina
Huo ni Ukweli Mchungu kwa hawa Dada zetu. Ila Kwa Shilole una muonea bure, Shilole ni std VII tena aliye somea Igunga akazalishwa watoto wawili huko huko Igunga, akaanza kufanya kazi ya Mama ntilie. Lakini leo hii anawekeana msuli na kina Wema na Aunt Ezekieli ambao wamezaliwa Dar na kukulia Familia Bora!!
 
  • Thanks
Reactions: nao
ATTACH]
 
Attachments

  • 1473751755831.png
    1473751755831.png
    123.1 KB · Views: 21
Umaarufu tu ila kuna mabint wakali huddah anasubiri
 
View attachment 394796hivi kuna staa mwingine Afrika mashariki ni mrembo na mzuri kumzidi huddah maana huyu binti huwa nachungulia picha zake kwenye page yake naona kila siku anazidi kuwa mrembo na mzuri,ki ukweli wenye mpunga mrefu wanafaidi Sana maana inaonyesha huyu binti bila mpunga huwezi mpata.
1473762308011.jpg
 
Duniani huwezi kupata kitu kinachopendwa na kila mtu au kinacho kubaliwa na kila mtu. Tunacho angalia ni percentage ya wanao kikubali au kukipenda hicho kitu.
percentage kwa sample na vigezo vipi?...
 
Ninachokipenda kuhusu mademu wa Kenya/Ug ni vichwa, yani wanajielewa sana, nimeshawasikiliza interview za zari, huddah na vera yani wako smart sana kichwani na ni wajanja sana ndio maana hawafanyi umalaya cheap, wao umalaya wao ni international coz lugha inapanda na wana IQ kubwa tofauti na mademu wa kibongo, wengi wazuri wa sura na shepu but kichwani hamna kitu, sikiliza interview ya wema, shilole, aunty Ezekiel, wolper, johari utajua ninachomaanisha, nawatoa jide na demu wa jux nimemsahau jina
Kunywa bia 10 kwa bill yang aki umeongea ukweli Sana warumi
 
Jamani, hivi ni mzuri huyu? She looks like she needs to eat! A plate of ugali and lots of meat a day can make great improvements to her looks within a month!
 
ni aina ya mtu ninaependa kuwa nae,yaani hata akinyoa nimpende,akivaa jeans,skirt aau gauni bado anivutie+intellectual ability
 
Back
Top Bottom