mchana unafanya kazi na usiku unalala[/QUOTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchana unafanya kazi na usiku unalala[/QUOTE
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu usiku/jioni kwa mihogo, ndizi.., magimbi n.k..., hivi tofauti ya makundi haya mawili ni nini hasa..??!
mchana unafanya kazi na usiku unalala[/QUOTE
na income nikubwa kuliko expenditure

Tofauti yake ni kuwa wengine hufunga usiku na wengine hufunga mchana.
Hivi unamiaka mingapi ..?
Usiku na mchana
Fancis ebu jibu umri wako ngapi? Mada zako ziko ki-toddler toddler
Unafiki mtupu.
Mmmh naziona hasira zilee.
Khaa!!! Wewe vipi mbona tofauti ipo kwenye post yako!! Usituharibie saum zetu bana
Tujiulize kwanza,sababu na maana ya kufunga ni nini?
Kufunga au Saumu ni agizo kwa wakristo ili wapate heri na thawabu.
Ni sawa sababu vyote ni tofauti
Ahahahaha lakini kuna ukweli...nlikua sijagundua hili...
Francis Nadhani kwako wewe kufunga umeelewa ni kuacha kula na kunywa tu.
funga ni zaidi ya uijuavyo ni wajibu(kama una nia ya dhati)ya kutaka kujua basi soma.
funga ni nini?
madhumuni yake?
kanuni na sharti?
kwanini tufunge?
nani inamuwajibikia kufunga?
faida zake ni zipi?
kwani tufunge mchana na si usiku?
je sisi ndio wa kwanza kufunya ibada ya funga?
Pindi ukipata majibu naomba urudi uanzishe thread utueleze kwa kadri ulivyoielewa.
Kuna vitu unachanganya,kuna kufunga na kubadili ratiba ya kula badala ya kula mchana unakula usiku kucha alafu mchana kutwa unakua umeshiba,hivyo vitu ni tofauti.
KIMBIA wanakuja,bado umekaa!!!!shaur yako
Kumbe kufunga kazi for some..
Hahahahaha!!!!!!!!" ulichomaanisha ndicho au
Kuacha kula si kufunga, unaposema kuwa hujala i=usiku ni kuwa umefunga hiyo si sawa, je ni mara ngapi unaweza amka usinywe chai wala chakulacha mchana mpaka jioni ndo ule, je hiyo unaweza kuita ni kufunga, je wanao fanya diet kutokula asubuhi na mchana mpaka jioni ndo wale nao pia tunaita wamefunga? HAPANA.
Kufunga ni ibada, lazima iwe imepangwa na pawe za sababu maalum (lengo). Ibada ya kufunga ni moja ya ibada zenye nguvu sana kiroho ( kiisilamu na kikrosto). kufunga ni kujinyenyekeza, kuudhiri mwili, kuutiisha mwili. its to play beyond flesh and blood.
Ibada za kufunga zina historia ndefu, hata kabla ya kuingia kwa imani za kikrsto na kiisilamu. Kwa sababu kufunga ni swala la kiibada, hata mababu etu walikuwa na mfumo wa kufunga katika imani zao za jadi. Pia kutoka kwa shuhuda mbali mbali za waabudu shetani, pia nao wanakuwa na ibada za kufunga.
Unaweza kuamua kuacha kula milo ya asubuhi na mchana kwa siku maalum katika mwezi lengo si ibada ila kwa lengo maalum la kiafya, wataalamu wa afya wanaweza kulizungumzia hili.
Wat d'u mean..??! si nimeandika kiswahili au..?!
Kufunga ni ku_assume huli MCHANA,then USIKU WENGINE WAMELALA WEWE UNAGANDAMIZA MISOSI BALAA!SO TUPOTEZEEE KAMA VIPI.....
mchana unafanya kazi na usiku unalala
mchana unafanya kazi na usiku unalala[/QUOTE
mmmh......unaanza uchokozi!
kama maislamu au?????
na income nikubwa kuliko expenditure
Ngoja nikatafakari vizuri, nisije nikakwaza watu bure hapa!!!
Kuna kitu ambacho kinatafutwa hapa na naamini hakiko sahihi hasa kipindi hiki,ila bora wakae kimya maana wataharibiwa ibada yao ya kufunga.
Okay...
Okay...
K.&@%¥nina.
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu usiku/jioni kwa mihogo, ndizi.., magimbi n.k..., hivi tofauti ya makundi haya mawili ni nini hasa..??!
acha kunichokoza.Ha ha ha!!! Wewe ni mchokozi sasa!!!
Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu usiku/jioni kwa mihogo, ndizi.., magimbi n.k..., hivi tofauti ya makundi haya mawili ni nini hasa..??!
La hasha.., nipe ilmu mama faiza.., hahahahah...! ila hivi we huwa hulali..??!Wewe funga usiku, tuwache wenye kufunga mchana tufunge, tatizo lako ni nini?
Ngoja kwanza, nkatowe bakuli la faluda ya loz, nione Mmerekani anavyo chakazwa kwa magoli.
Unajuwa faluda ya loz wewe?
acha kunichokoza.
Ha ha ha!!! Wewe ni mchokozi sasa!!!