FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Sawamimi nimefunga kula nyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawamimi nimefunga kula nyama
Wengi hufuata huu utaratibu ULIO uelekeza..Kuna vitu unachanganya,kuna kufunga na kubadili ratiba ya kula badala ya kula mchana unakula usiku kucha alafu mchana kutwa unakua umeshiba,hivyo vitu ni tofauti.
Mkuu fasting ni kuacha kula chochote na kufanya yale tunayoyatamani kuanzia macheo hadi machweo.Kwa kawaida watu woote duniani hufunga usiku kucha na hufungulia asubuhi kwa kufuturu na chai, chapati, mayai n.k.., pia kuna watu wengine wao hupendelea kufunga mchana kutwa na kufuturu usiku/jioni kwa mihogo, ndizi.., magimbi n.k..., hivi tofauti ya makundi haya mawili ni nini hasa..??!
========================
Chai huitwa breakFAST sababu unavunja mfungo (Kufuturu).
Mchana Ukiacha kufanya yale (mabaya) unayoyatamani, halafu usiku ndio ukaendelea kufunga kama wengine na asubuhi ukafuturu kwa chai kama wengine, utofauti ni upi?Mkuu fasting ni kuacha kula chochote na kufanya yale tunayoyatamani kuanzia macheo hadi machweo.
Usiku unakuwa hukumbani na mambo mengi yakatazwayo mchana. Sanasana kama umeoa na umeolewa unakula vyote😃
Mchana Ukiacha kufanya yale (mabaya) unayoyatamani (kwa kukusudia), halafu usiku ndio ukaendelea kufunga kama wengine na asubuhi ukafuturu kwa chai kama wengine, utofauti ni upi?Tofauti ni funga ya kukusudia ya kidini. Hiyo nyingine sio funga ni kupumzika tu kula