Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
unataka kibarua cha kubeba zege, kama huna kazi njoo area d nikupe kazi
We mwenyewe ni house boy huko alafu ndio unipe kazi?unataka kibarua cha kubeba zege, kama huna kazi njoo area d nikupe kazi
Muda waliopewa ukipita viwanja watapewa watu wengine wajenge halafu balozi ziwe wapangaji.Tangu serikali itangaze kuhamia Dodoma na baadae kuwagawaia bure viwanja mabozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,kuna nchi hata moja imeonyesha ni ya kujenga ubalozi kue mkoani Dodoma?
Ni kweli kila nchi ina taratibu zake za kutekeleza jambo kama hili, ila kwa muda wote huu, nilitarajia kusikia kuna nchi wala mbili au tatu zimeanza kuonyesha dalili za kujenga ubalozi mkoani Dodoma ila pale katika Mji wa Serikali sioni dalili ya ubalozi unaojengwa.
Kwa ukimya huu,inawezekana hizi nchi haziko tayari kuhamia Dodoma ikiwemo hata kufungua ubalozi ndogo kama walivyofanya China na Ujerumani.
Baada ya Mheshimiwa kutangaza kuhamia rasimi Dodoma,labda tutaona mabadiliko/jitihada za balozi hizi nazp kuhamia Dodoma.
Serikali inatakiwa kufanya mengi ya kushawishi nchi hizi kujenga balozi zao ikiwemo kujenga na kuboresha miundombinu katika eneo husika pamoja na huduma nyingine za kijamii kama vile mahospitali ya kisasa,iweke mazingira ya kushawishi na kuvutia watu kujenga shule za kimataifa,n.k vinginevyo itachukua zaidi ya miaka 10 hili jambo kutimia.
Ili mtuteke??Wengine tumeanza ujenzi..hatusubiri mpaka mabalozi waanze kujenga...Dodoma panatisha...and its the place to live. Wa Iyumbu Extension tufahamiane hapa.
Na huu ndio ukweli mchungu.Wengi wataweka ofisi ndogo za kibalozi
Kamwe usitoe namba ya simu kwa mtu humu kupitia hapa jukwaani au kwa kwa PM.Ili mtuteke??
Tangu serikali itangaze kuhamia Dodoma na baadae kuwagawaia bure viwanja mabozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,kuna nchi hata moja imeonyesha ni ya kujenga ubalozi kue mkoani Dodoma?
Ni kweli kila nchi ina taratibu zake za kutekeleza jambo kama hili, ila kwa muda wote huu, nilitarajia kusikia kuna nchi wala mbili au tatu zimeanza kuonyesha dalili za kujenga ubalozi mkoani Dodoma ila pale katika Mji wa Serikali sioni dalili ya ubalozi unaojengwa.
Kwa ukimya huu,inawezekana hizi nchi haziko tayari kuhamia Dodoma ikiwemo hata kufungua ubalozi ndogo kama walivyofanya China na Ujerumani.
Baada ya Mheshimiwa kutangaza kuhamia rasimi Dodoma,labda tutaona mabadiliko/jitihada za balozi hizi nazp kuhamia Dodoma.
Serikali inatakiwa kufanya mengi ya kushawishi nchi hizi kujenga balozi zao ikiwemo kujenga na kuboresha miundombinu katika eneo husika pamoja na huduma nyingine za kijamii kama vile mahospitali ya kisasa,iweke mazingira ya kushawishi na kuvutia watu kujenga shule za kimataifa,n.k vinginevyo itachukua zaidi ya miaka 10 hili jambo kutimia.
Na huu ndio ukweli mchungu.
Siku Magu akitoka madarakani,mrithi wake anaweza kuirudisha serikali Dar-es-Salaam na usishangae akaungwa mkono na watu wengi baadhi wakiwa ni wasaidizi wa karibu wa Magu leo hii.Kama kuna baadhi ya Vitu / Mambo ambayo nitamlaumu Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere japokuwa amelala Kaburini pale ' Mwitongo ' Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) basi kimojawapo ni Kuamua au Kupendekeza Mji Mkuu wa Tanzania uwe ni Dodoma. Mpaka leo bado sijashawishika Kukubali kuwa Mji Mkuu wa Tanzania ni Dodoma. Kama ikiwezekana Watunga Sera waliangalie hili tena na ikiwezekana huko baadae Mji Mkuu uwe Mkoa wa Dar es Salaam kwani una karibia Sifa zote za kuwa hivyo lakini si kwa Mkoa wa Dodoma.
Unajua sambamba na mambo menginre,sababu mojawapo ya hawa wazungu/mabeberu kutukumuunga mkono Magu huenda ni uamuzi wake wa kuhamishia serikali Dodoma.Ndo maana hujaona mtu akishobokea sana. Na pia Balozi nyingi zipo kwa ajili ya mashirika na taasisi za mabeberu.
Ubalozi wa China upo sana sana kwa ajili ya wafanyabiashara hivyo wao watapendelea kubaki Dar. Huko pengine watapeleka wawakirishi wa serikali zao au watakubali ingia gharama za kusafiri kila wakitaka onana na viongozi.
Fortress kama US Embassy haiwezi hama hivi hivi. Pale walipo ni safe haven wapo karibu na logistics zote
Siku Magu akitoka madarakani,mrithi wake anaweza kuirudisha serikali Dar-es-Salaam na usishangae akaungwa mkono na watu wengi baadhi wakiwa ni wasaidizi wa karibu wa Magu leo hii.
Huna akili wewe rudi shuleWanajenga au wamefungua ubalozi mdogo Dodoma?
Wanaweza kuendelea kukaa DSM kwa sababu usafiri wa anga na nchi kavu utaimarika sana muda si mrefu.....!!!( nawaza)
ile mikwara ya kishamba kwamba lazima wajenge Dodoma imeishia wapi ?Wanaweza kuendelea kukaa DSM kwa sababu usafiri wa anga na nchi kavu utaimarika sana muda si mrefu.....!!!( nawaza)
Ni house girl huyo mkuuWe mwenyewe ni house boy huko alafu ndio unipe kazi?