Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?


Hata ipite Miaka 100 bado sikubaliana Mkoa wa Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tanzania, ila Mji Mkuu uwe ni Mkoa wa Dar es Salaam tu.
 
Sio rahisi miundombinu ya mji mkuu kukamilishwa ndani ya miaka minne hata hivyo Magu anatakiwa kabla hajatoka madarakani ndani ya miaka mitano ijayo ahakikishe bwawa kubwa la maji wamelijenga,ring road ikamilike,airport iwe tayari,uwanja wa mpira uwe tayari na taasisi zote ziwe zimehamia Dodoma akiwemo yeye
Pili wajenge hospitali kubwa nyingine ya rufaa yenye hadhi ya Muhimili na ambayo itakuwa na presidential suite bila kusahau watu wa mazingira kutengeneza public gardens za kutosha na upandaji miti usisitizwe.Mwisho barabara ya Dodoma Morogoro Dar iwe dual carriage na sgr ifike Fasta hapo hakuna jinsi mabalozi watahamia tuu,private sector wao wawezeshwe tu kuweka uwekezaji unaowahusu hasa mahoteli lakini pia sio vibaya serikali ikajenga hotel japo mbili za nyota tano
 
Rais akihama nao wataanza kuhamia na hasa uwanja wa ndege mpya ukikamilika na hudymu zote nuhimu zikiwa tayari. Huko Israel mabalozi wahamia Jerusalem sasa kutoka Tel Aviv kuifuata serikali.
Unaifahamu Jerusalem au unaisikia tu. Usifananishe vitu viwili vilivyo tofauti kabisa.

Jerusalem ni mji mkubwa kuliko Tel Aviv. Wayahudi wamehamisha makao makuu ya nchi kutoka mji mkubwa wa pili kwenda mji wa kwanza kwa ukubwa. Sisi tulitoa makao makuu kutoka mji mkubwa wa kwanza kupeleka mji wa 9 kwa ukubwa.
 
Asante,umemaliza kila kitu,
 
Hata ipite Miaka 100 bado sikubaliana Mkoa wa Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tanzania, ila Mji Mkuu uwe ni Mkoa wa Dar es Salaam tu.
Mkuu wanapoteza pesa za walipa kodi,Dodoma ni Idodomya.Hata physical geography yake ina utata,sababu za kuhamisha Capital kuja Dodoma kwa sasa hazipo.Mimi nilikuwepo tukahamisha hadi wizara ya Waziri Mkuu Mzee Rashid Mfaume Kawawa tena ilikuwa bidii na pilika kubwa na nia haswa.
Lakini ghafla vuuu Mwalimu Nyerere akabadirisha kibao baada ya kupewa darasa na wabobezi wa mambo.Hivi Mwalimu hakuacha Diary?Zitafute Diary zake tunaweza kupata jibu.
 

Rais Dkt. Magufuli achana na Dodoma ruhusu Mji Mkuu wa Tanzania uwe ni huu wa Dar es Salaam na ubakie hivyo Milele.
 
Rais Dkt. Magufuli achana na Dodoma ruhusu Mji Mkuu wa Tanzania uwe ni huu wa Dar es Salaam na ubakie hivyo Milele.
Huo uthubutu anautoa wapi ? Mnataka awape sababu ya ninyi kuongea ? Yaani aagize Dodoma kuwa mji mkuu zimeshatumika fedha kibao kwa ajili ya kuhamishia nguvu huko Dodoma, leo hii aje kusema walikurupuka hivyo wanarudi Dar. Simuoni huyu jamaa akifanya hivyo maana ataonekana hana msimamo na hatambui anachokifanya. Labda aje kiongozi mwingine na kuyatekeleza hayo.
 

Na Wewe unaafiki kabisa tena kwa 100% Mji Mkuu wa Tanzania kuwa ni Dodoma? Nasubiri jibu lako upesi tafadhali Mkuu.
 
Na Wewe unaafiki kabisa tena kwa 100% Mji Mkuu wa Tanzania kuwa ni Dodoma? Nasubiri jibu lako upesi tafadhali Mkuu.
Kwa upande wangu naafiki Mbeya ndio iwe mji mkuu wa Tanzania. Ili mkoa wetu nasi upate maendeleo kwa mwendo wa kasi.
 
Kwa upande wangu naafiki Mbeya ndio iwe mji mkuu wa Tanzania. Ili mkoa wetu nasi upate maendeleo kwa mwendo wa kasi.

Kabla ya Kuivuta Bangi / Bange ya leo ulikula chochote au uliweka chochote Tumboni mwako?
 
Rais Dkt. Magufuli achana na Dodoma ruhusu Mji Mkuu wa Tanzania uwe ni huu wa Dar es Salaam na ubakie hivyo Milele.
Mjadala wa kina ulipuuziwa imekula kwetu,hizo short cut za kuuza heading bila kuangalia contents ni shida Mkuu.
 
Wengi wataweka ofisi ndogo za kibalozi
Rais akihama nao wataanza kuhamia na hasa uwanja wa ndege mpya ukikamilika na huduma zote nuhimu zikiwa tayari. Huko Israel mabalozi wanahamia Jerusalem sasa kutoka Tel Aviv kuifuata serikali. Lkn una sifa zote na uko katikati ya nchi hauna foleni ya magari, umepimwa vizuri haunuki kama Dar yenu. Wewe Kama hutaki kaa na hiyo harufu mbaya.
 
Salary Slip kuna mambo ambayo huyajui. Uwe unaulizaGA!
Kigogo 2014 anaemaje kwani
Kama kuna kitu nyumbus hawataki kusikia ni jina la KIGOGO2014!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…