BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 480
Gari # mwanamke! Is equal to Wanawake hawana thamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanx a lot Kingmairo;Kuna uzi ulikuwepo zamani kidogo hapa kuhusu gharama za kuhudumia gari. Wadau wakakokotoa gharama kwa gari ya kawaida kabisa ambayo ni fuel economy ikaja ni around elfu 10 au 15 kwa siku ( kwa wakati huo). Yaani ukikokotoa hadi zile annual expenses ukaziweka per day ( road licence, insurance, fire, car service, fuel etc.) Sasa hapa ndo utajua mwanamke ana akili maana anajiuliza kama huyu mtu akiendesha gari ana uwezo wa kulihudumia kiasi hicho kwa siku ina maana hashindwi kumuhudumia yeye. Kwa hiyo ukiendesha gari ni kipimo cha uwezo wa kiuchumi. Ila hayo ya kuazima ndo hapo huwa wanaingia choo kibovu wanapigwa mkia wakishtuka njemba imesepa. Tayari mavitu meupe ushamwagiwa.....unafanyaje sasa!! Ni kulaumu tu na kusema wanaume wabaya.
Gari # mwanamke! Is equal to Wanawake hawana thamani.
Umefurahi eehHehehe
Umefurahi eeh
HahahahahahahaUmenifurahisha mami
mkuu heko kwa upembuzi wako yakinifu, pokea na LIKE nyingine tena!!! So literary saying women are very paradoxical than anyone can ever imagin. Veeeeeeeeeeeeeeery true!!!Pole Mkuu, nilitaka kupotray kuwa uhusiano wa wadada na baadhi ya vitu mara nyingi haupo kama unavyoweza kuwafikiria haraka, ''very simple and yet very complicated at the same time'' Unaweza fikiri amependa gari lako ukakuta ana motive nyingine kabisa kabisa, Yaani uhusiano wao kama unauona kumbe huuoni, unafikiri hivi kumbe wala hata akili yake haipo, au pengine unawapatia.
kuna ambao kweli wanakua wamavutiwa na usafiri (kuepuka adha ya daladala) ila wengi pengine waweza fikiri anapenda gari kumbe anamuoshea mwenzie, unafikiri anamuoshea mwenzie kumbe ndio analipenda, unafikiri kapenda gari kumbe kakuona wewe, unafikiri gari ndio kivutio kumbe kwao yapo ya kumwaga, unfikiri labda gari ndio limemrahisisha kumbe ndio yuko hivyo rahisi rahisi. etc etc Hawaeleweki, Yani ni kama utamu unakujaa, unakata, unakuja unakataa unasubiri ujeee, hauji, umeka tamaa, mara huooooo!!
Mwanamke jua tu namna nzuri ya kumpenda, mheshimu na mjali uchukue na usimamie jukumu lako kama mwanaume (behaving leader), ukimchunguza chunguza utachanganyikiwa tu yet they are very simple but complicated, unaona sasa ugumu unakoanzia?????
Wenye uzoefu wanaweza kuthibitisha baadhi mkuu.
Jamaa yangu moja aliniambia akiwa anaendesha gari hasa kama anapita mtaani, akipunguza mwendo kwa sababu ya mashimo au barabara kuwa mbaya, kama kuna binti pembeni anamwambia unasemaje, yaani binti anaitika akidhani, anaitwa, dah, duh, lol, lah, aisee!
Ila ni kweli anachofuata mwanamke sio gari, bali ni "good times" kama alivyosema mdau mmoja, zinazoambatana na gari, outings, mbwembwe kwa wenzake kwamba jamaa yangu ana gari, kuepuka adha za usafiri, fahari, na imani/matarajio kwamba mwenye gari yupo "full fwezad".
Kesho yake nikaenda NBC nikavuta loan ya 15 mil nikanunua gari.HUWEZI KUPROCESS MKOPO KWA SIKU MOJA NBC NA KUNUNUA GARI SIKU HIYO HIYO, WEWE MUONGO SANAA!!!
Neno "gari" limetokana na neno "girl"
Sio povu kaka. Hivi wewe una gari, motokaa ama baby walker?
tatizo ni muundo wa ile gear ya gali yaani shape ya gear ni balaa tupu
girl's hearts are connected to Engines.
Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo, tena mengi tu ya kifahari, lkn bado akimuona kidume "anatembelea ------" yaani anadrive lazima ashoboke! Duh...!