Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

N mimi kesho j3 naenda NBC nikavute mkopo mchana ninunue gari! Yaani unaenda kukopa kama unakopa kwa shemeji yako! Nyambav

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nyumba yangu ya kwanza niliijenga nikiwa na 25yrs na sikuwa na gari na wala sikuwa nimeoa. Marafiki zangu walionunua magari kipindi hicho wengi walishaaga dunia kwa kesi gonjwa. Gari + Tamaa ya madem = danger.
kuna nyumba, kibanda, villa, mansion, etc sio dharau or whatever..sidhani kama hiyo nyumba itakua ni fresh kiviile..unless uwe unapiga business na hautegemei mshahara..thats how i see it Mr..no offence tho..may be sort of kibanda..man..na kama ulifanikiwa kweli siipimii hiyo rescession..uliyoipitia..
 
That is why nilisema nina mtazamo tofauti, na huu ndo mtazamo wangu.
What u said ni mtazamo wako.
As for me hata km ndo first appointment ukanunua gari na mwingine wa same status akanunua kiwanja, still kwangu aliyenunua kiwanja ndiye nitakayempa BIG up, narudia ni mtazamo wangu.
owkei ni mitazamo tu hii..ingawa kiwanja ni muhimu or nyumba lakini..the way life is..the best thing is a vehicle then, kiwanja, construction..na hayo yote yatategemea ni wapi pananunuliwa kiwanja..i see your much of future oriented..
 
Ndiyo sababu ya vijana wengi hawajengi wanakimbilia kwenye magari,m2 mshahara laki 5 unanunua gari mafuta elfu 10 kwa cku=laki 3 kwa mwezi unabakiwa na laki 2,asa hapo unaifanyia gari kazi.tena

Ukiwa na mahesabu ya hivi hata kuku hutakuja kula.
 
Basi wewe unaishi kwa Ng'washibuga

Wenzio wanajigongesha kwenye gari, akisimama tu anakupa sorry kibao na anamwachia business card kwa ajili ya 'make up to you for the shock'

akijichanganya tu, demu kaliwa.

sio kweli, wanaume wanawaogopa wanawake wenye magari, tena kama hujaolewa ukanunua gari lako upo kwenye risk kubwa katika kupata mchumba, kuna jiran yangu hapo nje ni mhasibu kwenye kampuni moja ya simu, amenunua kari lake spacio, yuko desparate mpaka saiv hakuna anayemsemesha mtaani.. wanaume funguken, je unajisikiaje kuanza kupiga sound dem lenye gari wakati wew huna?
 
Ndoa yangu iliyumba sana jirani aliponunua gari na kuanza kutupa lift mm na wife kwenda kazini!

Kwa ufupi ukiwa na"motokali"kwenye nchi ya dunia ya tatu hawa jinsia tofauti utachagua mwenyewe ukale bata na nani leo Chamwino!

Niliponunua langu ndoa ikaimarika kweli kweli ahahahahah!

Mhhh huyo wife wako naye! Sasa likiharibika si utampoteza?
 
owkei ni mitazamo tu hii..ingawa kiwanja ni muhimu or nyumba lakini..the way life is..the best thing is a vehicle then, kiwanja, construction..na hayo yote yatategemea ni wapi pananunuliwa kiwanja..i see your much of future oriented..
Kitu cha kwanza ni kuwekeza kwenye miundo mbinu ya kupatia pesa, gari ni muundo mbinu mmoja wapo tena kwa zama hizi za utandawazi ni wa kwanza.

Pengine kibaya katika hilo ni mtu kununua gari kwa ajili ya kufanyia starehe wakati huna chanzo cha kipato. mfano mtu ni dalali au hana kipato endelevu lakini anafanya dili ambalo linamuingizia pesa ya mkupuo ya kutosha tu, badala ya kuwekeza kwenye chanzo cha pesa yeye ananunua gali, hapo ni kosa. Lakini kama tayari unachanzo kwa mfano kazai ya kuajiriwa ni vizuri ukachukua gari ili uwahi kwenda ofisini usije ukalimwa dokezo na hatimaye kazi ukafukuzwa na hiyo ndoto ya kujenga nyumba kwanza halafu gari ikayeyuka.
 
kuna nyumba, kibanda, villa, mansion, etc sio dharau or whatever..sidhani kama hiyo nyumba itakua ni fresh kiviile..unless uwe unapiga business na hautegemei mshahara..thats how i see it Mr..no offence tho..may be sort of kibanda..man..na kama ulifanikiwa kweli siipimii hiyo rescession..uliyoipitia..

Kama ulikuwepo kipindi cha Mzee Ruksa, utakubaliana na mimi kwamba pesa kipindi hicho ilikuwa njenje. Lolote ambalo m2 alijaribu kufanya lilimlipa kiuhakika. Wengi walipata pesa kipindi hicho wakaichezea kwa kubadilisha magari na wanawake.
 
Back
Top Bottom