Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.
Hizo ulizotaja zinaitwa Baby Walker.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.
Haha haaa King'asti umenichekesha....ni sawa na mtu mwenye NOKIA ya tochi akasema ana simu.....kanaitwa mawasiliano na si simu
Nyumba yangu ya kwanza niliijenga nikiwa na 25yrs na sikuwa na gari na wala sikuwa nimeoa. Marafiki zangu walionunua magari kipindi hicho wengi walishaaga dunia kwa kesi gonjwa. Gari + Tamaa ya madem = danger.Mim nafikiri itategemea yuko kwny stage gan ya maisha ikiwa ndo kagraduate tu chuo n kapata kazi obviously n lazma avute mkoko hizo idea zako za kujenga nyumba ni za kuanzia 30 yrs na kuendeleaa huwez kua 23 eti uhangaikie mjengo, nkt ndinga n 10m or wht evr vuta ndinga nyumba baadae..bhana..plus nyumba huwezi temebea nayo mgongoni..!!
Kati ya gari na nyumba kipi kinafanya ndoa kuwa imara zaidi?
Hii inawezekana hana mtu akiwa anavuta sigara huku akitembea mwanamkea anaweza kushoboka....
Haa haaa umenichekeshaaje..............na anaeendesha yale ya maji taka je?
Wanawake kiasili wanavutiwa na watu wenye hadhi ya aina flani mbele ya jamii. Kitu gani kinapima hadhi ya mtu inategemea na wakati na mazingira. Zamani mtu mwenye mashamba mengi na chakula cha kutosha ndio ilikuwa kipimo cha hadhi ya mtu. Ukiwa huna hivi vitu utakosa au utapata wanawake wa ajabu ajabu wasiotakwa na wenye uwezo.
Na mazingira yana matter, kwa waliosoma shule mtakuwa mnakumbuka wanamichezo mahiri mashuleni walivyokuwa wanang'ang'aniwa na mabinti. Kwenye mazingira ya shule, ukiwa good on the field inakupa hadhi flani ambayo wengine hawana.
The same applies to modern life and cars. Kwa kiasi gari limekuwa kipimo cha hadhi ya mtu kwenye maisha yetu. Ukishakuwa na gari, jamii inakupandisha status yako, na wanawake wengi watakupenda tu.
Kwa wanaopenda STK, hao sijui huwa wanafikiria nini!?
Yaani huyu issue ni mwendesha chombo chchote cha moto! Hata kama ni tingatinga la Manispaa yeye ana kufaa tuu🙂
Taratibu bibi weeh. Siku hizi ladies hatutumii simu. Tunatumia devices ama gadgets, simu wanatumia watoto wa shle hehehe. Mwaka huu mtajinyoosha wenyewe.
Wenyewe wana kauli yao kuwa NYUMBA UTAPANGA HATA MASAKI lkn eti huwezi kodisha gari kila siku:wanasisitiza UNUNUE LAKO maisha yasonge mbele ahahahaha!
Thx God siku hizi kuna hizi Noah na vitara hata za milion 2 ahahahahahahahaah!Unaenda Chang'ombe wanalipaka rangi saafi na wanaondoa milleage wanaweka ndogo unamdanganya kuwa ni toleo la mwaka jana maisha yanaendelea ahahahaha
Bila ujanja mjini hapa ndoa itakushinda kaka!
Unaweza ukawa sahihi kiasi fulani tu,lakini wanawake ni wa ajabu sana,hata kama ni dereva wa serikali,atashobokewa kuliko hata bosi wake!Hiyo ni hirizi ya mjapani!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kweli we kilaza...yaani mda wote huo unatafuta x huioni...!!!???:twitch::twitch:...eti wajameni...na nyie wengine x hamjaiona bado...!!??Ax2+bx+c=0, X is also perpendicular to Y but inversily proportional to b, while b is a reciprocal of 1/x, Now find X utaelewa uhusiano wao.
haya maneno ya mzeee wa benchi hayaNgozi ya Dudu ndo ilitumika kwenye Tambiko la kijapan wakati wa Uzinduz, so kushoboka is inevitable, vitoto vya shule ni chips kuku eti wanasema za kununuliwa na mshkaj tam kuliko za Home! Asilimia 95% ya mimba za Udogon chanzo ni Chips Mayai, sio birian wala Pilau!
sio kweli, wanaume wanawaogopa wanawake wenye magari, tena kama hujaolewa ukanunua gari lako upo kwenye risk kubwa katika kupata mchumba, kuna jiran yangu hapo nje ni mhasibu kwenye kampuni moja ya simu, amenunua kari lake spacio, yuko desparate mpaka saiv hakuna anayemsemesha mtaani.. wanaume funguken, je unajisikiaje kuanza kupiga sound dem lenye gari wakati wew huna?Wanamme hawashobokei wanawake wanao-drive?
Ax2+bx+c=0, X is also perpendicular to Y but inversily proportional to b, while b is a reciprocal of 1/x, Now find X utaelewa uhusiano wao.