Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kumbe wote wenye ndevu si wanamme
neva...sie tunashobokea wenye wowowo.
Personally, I love dating a man who own a car because it's more comfortable being with him. Imagine we are out at a late night then mnaka mnawaza jinsi mtakanyorudi home( its either mchukue bajaj or a taxi) but if a man has a car its free to move around especially kama hapa dar kwenye usumbufu wa magari.So, my views are: men with cars have a graet potential
Ugonjwa wa gari naona mimi ndiyo umeniathiri zaidi, hata nikimuona mtu anaendesha trekta, bajaji au tipper la mchanga tayari najisikia kufa kwake kabisaaa.
Ndoa yangu iliyumba sana jirani aliponunua gari na kuanza kutupa lift mm na wife kwenda kazini!
Kwa ufupi ukiwa na"motokali"kwenye nchi ya dunia ya tatu hawa jinsia tofauti utachagua mwenyewe ukale bata na nani leo Chamwino!
Niliponunua langu ndoa ikaimarika kweli kweli ahahahahah!
My goodness! Kwanini usitafute lako mwenyewe? Badala ya kumaliza nguv kutafuta mwanaume mwenye gari, tafuta lako! Heee jamani haya makubwa!
Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo, tena mengi tu ya kifahari, lkn bado akimuona kidume "anatembelea ------" yaani anadrive lazima ashoboke! Duh...!
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.
Mim nafikiri itategemea yuko kwny stage gan ya maisha ikiwa ndo kagraduate tu chuo n kapata kazi obviously n lazma avute mkoko hizo idea zako za kujenga nyumba ni za kuanzia 30 yrs na kuendeleaa huwez kua 23 eti uhangaikie mjengo, nkt ndinga n 10m or wht evr vuta ndinga nyumba baadae..bhana..plus nyumba huwezi temebea nayo mgongoni..!!Mtazamo wangu uko tofauti katika hili.
For me mwanaume hata akiwa na gari la milioni 200 km hajajenga kwa kweli nakuwa simuelewi.
Ninakuwa najiuliza gari....sawa...but maisha yanaishia kwenye gari tuu?
Hata nikisikiaga watu wakimsifia mwanaume sijui kanunua gari la maana, ooh mbona wasichana watamkoma mjini....huwa nakuja na swali AMEJENGA?
Namuheshumu sana mwanaume aliyejenga kuliko aliye na gari hana nyimba.
Mim nafikiri itategemea yuko kwny stage gan ya maisha ikiwa ndo kagraduate tu chuo n kapata kazi obviously n lazma avute mkoko hizo idea zako za kujenga nyumba ni za kuanzia 30 yrs na kuendeleaa huwez kua 23 eti uhangaikie mjengo, nkt ndinga n 10m or wht evr vuta ndinga nyumba baadae..bhana..plus nyumba huwezi temebea nayo mgongoni..!!
Kati ya gari na nyumba kipi kinafanya ndoa kuwa imara zaidi?
My goodness! Kwanini usitafute lako mwenyewe? Badala ya kumaliza nguv kutafuta mwanaume mwenye gari, tafuta lako! Heee jamani haya makubwa!