Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

Ni ulimbukeni tu na sio wote wanashobokea hayo magari ila frankly speaking gari ikiwepo una feel kitu fulani na ni rahisi kutembelea/kufika maeneo mengi
 
kuna kademu ka-moja kalikuwa kanaleta pozi sana, kila siku kinachomoa appointment,

siku nikamwambia nimfuate saa ngapi na gari, nikashangaaa anaanza kuji-uma-uma ooh basi baadaye jioni uje nikifunga,

kweli mademu wa mjini wanazimika saana na magari , nahisi ni ulimbuikeni tu!
 
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.

Ugonjwa wa gari naona mimi ndiyo umeniathiri zaidi, hata nikimuona mtu anaendesha trekta, bajaji au tipper la mchanga tayari najisikia kufa kwake kabisaaa.
Hata lile la maji taka? sipati picha uko home/job kwako halafu napita nalo ili ugonjwa ukupande zaidi.
 
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.

Acha dharau sister,, MKATA KIU nina Corolla 111 lakini nikikupa lifti unaweza usishuke hata kama unamiliki navigator kama ya ice cube kwenye Are we there yet
 
Last edited by a moderator:
Afu usikute ni vitz ama corolla ndo unaita gari. Hizo ni motokaa ujue. Utakuja kutukanwa ohooo.

Umeona eeh! Kuna wanaochanganya madesa hapa.
Yaani mi nipaki Vitz yangu halafu nawe uje uni pick na Vitz tena,tofauti iwe rangi tu? Tutakutana tunakoenda.
 
Back
Top Bottom