KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hiyo ni miongoni mwa paradoxes katika maisha au ulimwengu tunaoishi.......
Hiyo inafanana na zile ukiwa na pesa ndio unapata mipango ya kupiga pesa zaidi......
Ukiwa na kazi ndio kazi na fursa zinamimika zaidi.........
Kitu ukiwa unakitafuta hukioni kwa wepesi ingawa kiko bayana lakini ukiwa hukitaki ndio kinazagaa.......
Ukiwa bachela unatumia gharama kubwa kuwa kwenye mahusiano na wanawake lakini ukishaoa hata kama huna kitu wanawake wanakupenda hivyo hivyo.....
Ni hali ya kawaida kwenye mzunguko wa maisha na ndio kipimo tosha akili na uwezo wako wa kuchanganua mambo..........
Na ndio kipimo cha maamuzi yako ya kuoa juu ya uliyemuoa kuwa ulimuoa kwa tamaa au kwa upendo uliojaa moyoni...........
Na pia hichi ni kipimo cha mustakabali mzima wa ndoa yako......unapoanza kuwaingilia wengine unaanza kuleta mringanyo kati ya mkeo na hao wa nje vivo hivyo kwa mwanamke.....na hapo ndipo tamu ya ndoa inapoanza kuingia shubiri....... mapenzi hayagawanyiki........ngono ni uchafu unaotoa haya kwenye nyuso za wanadamu.......ukianza kulala na wanawake wa nje huwezi Tena kumtazama mkeo kwa jicho la huna mpaka pale unapoingiwa na hamu ya ngono..........vivo hivyo kwa wanawake