ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu.
Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu.
Ila kwa wale wanaoingiliana maisha binafsi(mf. familia, ndugu, marafiki nje dini aliokuwa nao/alionao) wakikueleza muhusika alivyo unaweza usiamini.
1. Washika dini sana wengi wao nafsi na mioyo yao hutawaliwa na husuda, wivu(hapa unakuta bifu kati ya kanisa kwa kanisa, msikitini kwa kanisa, msikitini kwa msikiti, familia kwa familia, ndugu kwa ndugu n.k)
2. Hutawaliwa na choyo na majivuni ndani yao, hapa hakuna kitu watafanya bila kuingiza ubinfsi ndani yao. Yaani kwamba hakuna mwingine anaeweza kufanya kitu flan zaidi yao.
3. Wao ndio hutumia ulimi kama silaha kuu ya vyanzo vya vurugu ndani ya familia nyingi, hasa pale wanapokuwa upande unaowaamini wao, huegemea upande huo huo kwa kisingizio ndio wema(hapa ndoa nyingi zimeenda na maji chanzo kikuu ni wao pale watu walivyowategemea)
4. Kwa wao hali bora za kimaisha za wafuasi wao na ndugu zao ndio watu wao wa karibu na ndio wakutolewa mifano bora kila siku kwenye mahubiri yao. Ila kwa wale duni ndio hutolewa mifano mibaya na hata ndugu zao huwanyanyapaa.
5. Suala la ufuska ni wadau wakubwa mno japo ujitahid. kujifichia humo. Ila wengi wetu mnajua kwenye ziara za kidini vitu gani hufanyika huk?!
Wachache ndio sana wako kuhalisia, yaani maisha ya dini na kibinafsi angalau kidogo huendana.