Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna dini inafunza hayo,hizo ni tabia binafsi za asili ya mtuWale watu unaokuta all the time wanaimba vinyimbo vya dini mara Bwana umenifanya kuwa njia sijui vidude gani aisee wana roho mbaya kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaona zaidi ya wawili kibaruani kwetu aiseee acha kabisa wale watu hatari kwa roho mbaya.
Anaweza kupambana ahakikishe hupati ela (hizi extra kama safari, vikao, training n.k)
Sjui hizi dini wanafundishwa vitu gani
Ukiwa tajiri ili uzidi kuwa tajiri inabudi uwasaidie wanao kuzungukaHili la kusaidie ndugu sikubaliani nalo. Kusaidai ndugu siyo wajibu bali ni hisani. Hao ndugu kwa nini wasitafute vyao?
Hahaha hatari sana...mkuu..😂😂😂Nilishaondoka kitambo [emoji3]
Sikatai. Tena mimi napenda sana binadamu tuwe tunasaidiana. Ila ninachopinga ni ile mtu anapooana ndugu yake ni tajiri, yeye badala ya kukazana, anakimbilia kulalamika kuwa hasaidiwi. Kutosaidiwa siyo tiketi ya kulalamika.Ukiwa tajiri ili uzidi kuwa tajiri inabudi uwasaidie wanao kuzunguka
Huyo ni wa kuchapa fimboSikatai. Tena mimi napenda sana binadamu tuwe tunasaidiana. Ila ninachopinga ni ile mtu anapooana ndugu yake ni tajiri, yeye badala ya kukazana, anakimbilia kulalamika kuwa hasaidiwi. Kutosaidiwa siyo tiketi ya kulalamika.
Ndugu huo ndio ukweliKuna mmoja alikuwa jirani yangu nashukuru mungu amehama, mke na mume wote Wana roho mbaya zaidi ya Israeli.
Wabinafsi hatari, hawapendi kuona unawazidi kwa chochote,
Watu wa kujivuna na kujiona bora kuliko wenzao
Matendo wanayowafanyia watoto wa ndugu zao wanaoishi nao ni ya ajabu mpaka mtu unajiuliza huu ulokole ni gelesha tuu