The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi.
Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote.
Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza vizuri.
Kilichonifanya nifikirie upya ni jinsi watu wengi wanekuwa wakihusisha uongozi mzuri na uwezo mkubwa wa kimasomo ya dalasani.