Ukiwa na nguvu namaanisha kijana hutaona umuhimu sana na ukifikria nowdayz dunia ni kijiji company kubwa from friends online to websites na physical friends, so ukitoka ofcn ukaingia home u can stay online hadi mid night ukalala so hata hufeel unamiss kitu kivile. Ila umri unavyoenda unaona umuhimu wa somebody to confide to, yaani mwandani ambaye will be there all time, pia hata ile feelig ya there is somebody I am responsible n he is responsible to me inaleta sennse ya security.
Kuna ka umuhimu fulani hivi.
Kuna ka umuhimu fulani hivi.