Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list kwa pamoja ).....wanaacha usajili uonekane uwanjani na sio branding za kiboya.
Pia tumeachana na wachezaji hawa na hawa ( wanataja list kwa pamoja ).....haya mambo ya kutangaza wachezaji kama dozi ya malaria ni UPIGAJI NA KUPOTEZEANA MDA TU!!!