Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
TuuuliaPole sana kolo.
kweli kabisa..unakuta eti mchezaji anaitwa jina la Messi kutoka ulaya..unajenga taswira huyu atakuwa na tabia za Messi wa Barcelona,PSG Na IntermiamiUnakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list kwa pamoja ).....wanaacha usajili uonekane uwanjani na sio branding za kiboya.
Pia tumeachana na wachezaji hawa na hawa ( wanataja list kwa pamoja ).....haya mambo ya kutangaza wachezaji kama dozi ya malaria ni UPIGAJI NA KUPOTEZEANA MDA TU!!!
Ndiyo njia mojawapo ya kuingizia kipato club ni sawa na huko You Tube tunavyo liwa bundle kwa ujinga wetu eti unaambia mayele kajiunga na timu iliyoshuka daraja unafungua kuangalia ama unaangalia clip ya mtu anae ongea humuoniUnakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list kwa pamoja ).....wanaacha usajili uonekane uwanjani na sio branding za kiboya.
Pia tumeachana na wachezaji hawa na hawa ( wanataja list kwa pamoja ).....haya mambo ya kutangaza wachezaji kama dozi ya malaria ni UPIGAJI NA KUPOTEZEANA MDA TU!!!
Nimecheza kwa sautiNdiyo njia mojawapo ya kuingizia kipato club ni sawa na huko You Tube tunavyo liwa bundle kwa ujinga wetu eti unaambia mayele kajiunga na timu iliyoshuka daraja unafungua kuangalia ama unaangalia clip ya mtu anae ongea humuoni
Acha makasiriko....jibu hojaPopoma katika ubora wako.
bado kabisa mlio tunaoutaka uutoe hujautoa...Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list kwa pamoja ).....wanaacha usajili uonekane uwanjani na sio branding za kiboya.
Pia tumeachana na wachezaji hawa na hawa ( wanataja list kwa pamoja ).....haya mambo ya kutangaza wachezaji kama dozi ya malaria ni UPIGAJI NA KUPOTEZEANA MDA TU!!!
Liverpool waliwatambulisha kerkez, frimpong, na wirtz kila mmoja kivyakeUnakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list kwa pamoja ).....wanaacha usajili uonekane uwanjani na sio branding za kiboya.
Pia tumeachana na wachezaji hawa na hawa ( wanataja list kwa pamoja ).....haya mambo ya kutangaza wachezaji kama dozi ya malaria ni UPIGAJI NA KUPOTEZEANA MDA TU!!!
Kabla ya uwanjani mchezaji anatambulishwa kwenye mitandao kwanzaUlaya wanatambulisha mchezaji uwanjani tena mnalipa viingilio