Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za watu(zingatia sijawahi kuwa mwanakamati wa sherehe yeyote ya ndoa bila kumtindua mke wa mtu ambae ni mwanakamati )

Michango sioni kama ina maana yeyote zaidi kusumbua watu na kujipa stress isiyo ya lazima kwa sababu sijawahi hudhuria kamati yeyote michango ikatosha hata ile ya mtoto wa kamanda sirro ambae anafahamiana na watu wengi, ukumbini kule ndio huwa kunanichosha zaidi maana ndio naona hakuna maana yeyote zaidi ya kusikiliza nyimbo za babu seya na kula kwa foleni as if ni manamba ya mashamba ya katani pale mazinde kwa Mo, mi nawashahuri ndugu zangu ukitaka kuenjoy ndoa na fungate epukeni mambo haya ya kuiga ya sherehe, tafuteni hela, ili mkishafungishwa tu ndoa mnatokomea maporini huko hata ngomei huko au chitoholi huko mkatafute watoto bila stress za kukopa ili mfanye sherehe. Achaneni na utamaduni wa kizamani wa kujichoresha mbele za watu na kupoteza magharama yasio ya ulazima kwa siku moja.

Nb. Kuanzia sasa sichangii ndoa yeyote ambayo itaambatana na sherehe, kama hufanyi sherehe laki mbili yangu inakuhusu.
 
Si ukienda kwenye sherehe unafidia mchango wako au?
Screenshot_20210302-112518_1614742666667.jpg
 
kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za watu(zingatia sijawahi kuwa mwanakamati wa sherehe yeyote ya ndoa bila kumtindua mke wa mtu ambae ni mwanakamati )
Umevunja amri za MUNGU,kwa tamaa kwakuwa dhambi hii uko mbele yako,usitupangie maisha
 
Tafuta pesa mkuu,,mtu akikosa pesa huweka ubahili hata kwenye baadhi ya Mambo muhimu katika maisha.

Usishangae siku moja ukaja jiuliza Kama Kuna haja ya kuwa na pumbu_u mbili kwa mwanaume....ukauza moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haina umuhimu zaidi ya kuleta stress na mwanzo mbaya wa ndoa, maana mnaoana unakuta mtu ana madeni kibao.......kama utatumia gharama kubwa tumia hela isiyozidi 1m tu......hizo mbwembwe hazina maana yoyote
 
Nilikimbia kwenda igoogle hiyo sehemu, ndiyo nikakutana na wimbo pia... Ngoja niupakue kabisa...

🎶 kila nikiusikiliza nitakuwa nakukumbuka, thanks Karucee
It's a beautiful song. ....am going back someday...come what way to Blue Bayou... Where the fishing boats, with their sails afloat......

Reminds me of someplace.
 
It's a beautiful song. ....am going back someday...come what way to Blue Bayou... Where the fishing boats, with their sails afloat......

Reminds me of someplace.
That's lovely...

Haya na wewe chukua hii kitu "don't let me be misunderstood by Nina Simone "
 
Back
Top Bottom