That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Enjoy the movie...Will take it to bed
Right now am watching movie flani ya Wesley Snipes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enjoy the movie...Will take it to bed
Right now am watching movie flani ya Wesley Snipes.
Hapana. Kwa Wesley Snipes no. Nasubiri inayofatia.Enjoy the movie...
Siku ukitulia tafuta hizi movie...Hapana. Kwa Wesley Snipes no. Nasubiri inayofatia.
Huyu sijawahi kumuelewa bora Samuel Jackson.
Will do. Right now am watching these ones from DSTV.Siku ukitulia tafuta hizi movie...
John Q
Acrimony
Get out
ukizipenda, itabidi unilipe 😉
Tsh. Just YOU /=Will do. Right now am watching these ones from DSTV.
Name your price my love😉
If you are worth it, yes.Tsh. Just YOU /=
Are you able to afford that??
Ulivoandika kwa hisia kali inaonesha ulikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Sherehe halafu mambo yakaenda komboMimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za watu(zingatia sijawahi kuwa mwanakamati wa sherehe yeyote ya ndoa bila kumtindua mke wa mtu ambae ni mwanakamati )
Michango sioni kama ina maana yeyote zaidi kusumbua watu na kujipa stress isiyo ya lazima kwa sababu sijawahi hudhuria kamati yeyote michango ikatosha hata ile ya mtoto wa kamanda sirro ambae anafahamiana na watu wengi, ukumbini kule ndio huwa kunanichosha zaidi maana ndio naona hakuna maana yeyote zaidi ya kusikiliza nyimbo za babu seya na kula kwa foleni as if ni manamba ya mashamba ya katani pale mazinde kwa Mo, mi nawashahuri ndugu zangu ukitaka kuenjoy ndoa na fungate epukeni mambo haya ya kuiga ya sherehe, tafuteni hela, ili mkishafungishwa tu ndoa mnatokomea maporini huko hata ngomei huko au chitoholi huko mkatafute watoto bila stress za kukopa ili mfanye sherehe. Achaneni na utamaduni wa kizamani wa kujichoresha mbele za watu na kupoteza magharama yasio ya ulazima kwa siku moja.
Nb. Kuanzia sasa sichangii ndoa yeyote ambayo itaambatana na sherehe, kama hufanyi sherehe laki mbili yangu inakuhusu.