Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya Dkt Kusiluka ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi na huyu Prof Kusiluka Vice Chancellor UDOM.
Sio kwa ubaya nataka tu kufahamu.