Kwa tuanze definition ya Irritability
Irritability is the ability to respond to stimulus
Kwa wanyama wote hasa mammalia kama sisi binadamu iko very fast sababu tuna pain receptors,nerve na ubongo.
Irritability ya mimea ukweli ipo lakini iko very slow.Mfano ukichukua mmea ukauweka kwenye box hilo box ukatoboa shimo ule mmea utapinda kuelekea lile shimo kufuata mwanga ila kitendo hicho kinachukua muda mrefu hata zaidi ya wiki.
Kwa upande wa maji na mbolea ukipanda mmea sehemu utagundua kuwa mizizi inaelekea kule kwenye maji na mbolea lakini hii inachukua muda sana.
Mimea ina hormes mfano ambayo inaitwa Auxin inajukumu la ukuaji wa mimea ila ni taratibu mno.
in short mimea haisikii maumivu sababu haina pain receptor,nerve na ubongo