Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 355
- 486
kwa hoja yenu hio bc miti hupata maumivu ikikatwa na furaha ikipapaswa ! Kwanini hisia za maumivu (madai yako) izipate mimosa halafu zisionekane kwa mwembe unaopgwa mawe ?Kama haipati maumivu basi Mimosa pudica isingekuwa ina kunja matawi inapoguswa
Kwahio ukisinyaa kwa kuguswa ndo unakuw umeckia maumivu au raha? Na je tutajua ni wakat gan huo mmea unafurahi na ni wakat gan unahc maumiv?Ushawai ona mmea unaugusa ghafla una sinyaa na baada ya muda huchanua tena.unajua maua marufu kama maua saa 6.hapo kwenye kuhisi mimei inahisi.
Nime reply neno ulilosema kuhisi.rudia comment yako hilo neno halina muunganiko au muendelezo wa tafsiri.ndio mana nami nimemalizia na neno inahisi.bila tafsiri ya hisia.#back 2 skoolKwahio ukisinyaa kwa kuguswa ndo unakuw umeckia maumivu au raha? Na je tutajua ni wakat gan huo mmea unafurahi na ni wakat gan unahc maumiv?
Hoja nzuri hiiKwa tuanze definition ya Irritability
Irritability is the ability to respond to stimulus
Kwa wanyama wote hasa mammalia kama sisi binadamu iko very fast sababu tuna pain receptors,nerve na ubongo.
Irritability ya mimea ukweli ipo lakini iko very slow.Mfano ukichukua mmea ukauweka kwenye box hilo box ukatoboa shimo ule mmea utapinda kuelekea lile shimo kufuata mwanga ila kitendo hicho kinachukua muda mrefu hata zaidi ya wiki.
Kwa upande wa maji na mbolea ukipanda mmea sehemu utagundua kuwa mizizi inaelekea kule kwenye maji na mbolea lakini hii inachukua muda sana.
Mimea ina hormes mfano ambayo inaitwa Auxin inajukumu la ukuaji wa mimea ila ni taratibu mno.
in short mimea haisikii maumivu sababu haina pain receptor,nerve na ubongo
SadMimi Ninaamini lazima Ina Maumivu japo Najua Science inapinga hilo
Code nimeitambua mkuu🤣🤣🤣🤣nikajua hutonitambua imebidi nije na code🥴
SafiCode nimeitambua mkuu
Its Ok to feel Sad..
Ile nyingine kila mtu anaijua😎😅Safi
🤣🤣🤣Ile nyingine kila mtu anaijua😎😅
Haina ubongo unaopokea taarifa za maumivuMnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe!
Ahsante.
sasa ili watu tuelewe ni lazma twend maji marefu kaka ! Tunaomba utufafanulie kwa kina na kinagaubaga hisia za mimea.Nime reply neno ulilosema kuhisi.rudia comment yako hilo neno halina muunganiko au muendelezo wa tafsiri.ndio mana nami nimemalizia na neno inahisi.bila tafsiri ya hisia.#back 2 skool