smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Inawezekana tu, tena hata mtatumia kitanda kimoja, mzungu wa nne, mkizoea hivi ukitaka muendelee vizuri bila kukosana kamwe msifanyane mkae hivohivo,
ukiwa na genye nenda kwa mtu wako mbali, hapo mtadumu sana, watasema watu kuwa nyie ni me'' na ke'' lkn ikitokea siku ya siku ke'' ukakubali kutoa papuchi yako, ujue ndo kwa heri!!! ataondoka kama umuonavyo! hutamjua kwa vyovyote tena maishani mwako!! Labda umroge kabla , kwa munguwakabili babu bidabida!