Hivi kuna uwezekano wa kubebana kwa kufuatana Ndani ya Crown ?

Hivi kuna uwezekano wa kubebana kwa kufuatana Ndani ya Crown ?

Crown inapakia watu wazima watano bila kubanana. Sasa watu wawili watashindwa kubebana?
Namshangaa mleta uzi, show inapigwa hata kwenye kizibo cha chupa ya soda vzr kbs. Sema mkimaliza ndo mnaanza kushanga alivyowawezesha kutosha humo!
 
Nzuri mkuu
Mkuu naomba nikuulize Swali ?
Crown hasa hizi used ya bongo ikinunuliwa kwa mtu na ikiwa ina hali nzuri kwa milioni 11 hivi kwenye service nikatupe vitu gani haswa na oil ipi nzuri ya kuifaa kwanzia engine oil, gearbox oil?
 
Umeweza kupata 11m na nyingine ya service, unawaza gari used ya mkononi....em ongeza uruke Japan
 
IMG_20240615_140853.jpg
IMG_20240615_140750.jpg

Aulizwe mwenyewe
 
Back
Top Bottom