Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gender psychology. Soma hii kitu basiHabari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
Kibaiyolojia inawezekana hasa kama umesoma bayoloji vizuri ila kama ni bashite au msanii a.k.a art.. Bas umwachie munguHabari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
Halipo kwa uelewa wako tu.. Ila kibayolojia ipo na inafahamikaJambo hili halipo katika milki ya Mwanadamu ww ni nan mpaka ujipangie mtoto wa kiume/kike hii ni kazi ya Mola wako hao madaktari wenyewe mbona tukonao uku mitaani wengine hawana mtoto hata mmoja wengine wana watoto wa kike tu ina maana yeye hataki wakiume?
Hiyo ni hadithi ya kufikirika. Acheni kupotosha watu. Hakuna kitu km hicho na hakitatokea kamwe. Binadamu viumbe wa ajabu sana. HAKUNA HAKUNAInawezekana kwa kiasi fulani tu kwahiyo si jambo la mia kwa mia.
1. Ukikutana muda mfupi kabla ya ovulation kwa mwanamke. Ovulation ni kitendo yai linatoka kwenye ovary.
Sperm za Y za mwanaume zinaogelea haraka lakini zinakufa haraka pia. Sasa kama ovulation itakuwa tayari uwezekano hapa ni mtoto wa kiume.
Kupata wakike ni tofauti ya hapo.
2. Vyakula.
Ukila vyakula vyenye protein, carbohydrates kwa wingi....na pia ukiwa unakula vizuri afya ipo probability hapo ni mtoto wa kiume.
3. Position wakati wa sex
Mkuu jaribu missionary position wakati wa majamboz probability utapata wa kiume [emoji4]
Wewe wacha kukurupuka kama unakimbizwa.Hiyo ni hadithi ya kufikirika. Acheni kupotosha watu. Hakuna kitu km hicho na hakitatokea kamwe. Binadamu viumbe wa ajabu sana. HAKUNA HAKUNA
jamani eeeh ujinga kitu kibaya sana...ogopa ata kidogoHiyo ni hadithi ya kufikirika. Acheni kupotosha watu. Hakuna kitu km hicho na hakitatokea kamwe. Binadamu viumbe wa ajabu sana. HAKUNA HAKUNA
inawezekana ni rahis sanaaa sex na mke wake siku ya 14 hesabu kuanzia siku ya kwanza ya kutoka damu mpaka ya 14 ukisex siku ya 14 ni uhakika mtoto wa kiume kwa sababu zifuatazoHabari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
U read the lines not btn themWewe wacha kukurupuka kama unakimbizwa.
Nimetoa angalizo hapo kuwa hayo niliyoandika ni dhanio tu.
Sijafanya quotation ya andiko lolote la science na zaidi ya hapo limeweka angalizo mwanzo kabisa wa reply yangu.
Acha kukurupuka read btn the lines
Are you on drugs or something?U read the lines not btn them