Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Habarini wakuu,
Naombeni msaada kujibiwa swali hili
Hivi kuna vyombo vya kisheria vinavyotetea haki za kibarua almaarufu deiwaka? Naombeni mnitajie tafadhali.
Nimejaribu kuchunguza nimeona vibarua hawa wananyanyasika sana kutokana na shida zao za maisha kwa kutopewa vifaa vya kuwaweka salama wakiwa makazini, kulipwa hela ndogo sana kulingana na kazi ngumu na za muda mrefu wanazofanya na mengine mengi.
Naam watu mnaofahamu naomba mnijibu