Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhahah nipo nakusubiri
Hahaha!!..Sawa bibie..hii sio kama mikwara ya andunje mwenye hekalu lake bunju..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!..Sawa bibie..hii sio kama mikwara ya andunje mwenye hekalu lake bunju..
Sawa jiandae siku ikifika ya mimi kurudi,tunasepa..Hahhahah nipo nakusubiri
Kumbe tuko kijiji kimoja mkuuRombo-Mamsera
Sawa mzungu wanguSawa jiandae siku ikifika ya mimi kurudi,tunasepa..
Ulaya na tindiga tuko karibu,asee tukutane Uwanja wa Azimio ,Mavuno cupMimi nipo kijijini ila panaitwa ulaya ni kilosa mkoani morogoro. Mimi ndo mjanja wao huku. Nikienda dar nafikiaga kwa shemeji yangu nalala sebuleni kwenye makochi,naangalia TV usiku kucha.
Haaa haaa haaa dah kweli we wa kilosa mwenzangu. Uje mpaka njiapanda ya tende utanikuta mkuu niende nikakupe maziwa mtindi hapo magomeni.Ulaya na tindiga tuko karibu,asee tukutane Uwanja wa Azimio ,Mavuno cup
Sasa ,magomeni,manzese,uhindini,kichangani kote anga zangu ,Mie MTU pori Mkuu, hapa yenyewe niko behewa nagonga vyombo kwa ShayoHaaa haaa haaa dah kweli we wa kilosa mwenzangu. Uje mpaka njiapanda ya tende utanikuta mkuu niende nikakupe maziwa mtindi hapo magomeni.
Jina nalotumia JF linasadifu nilipo acha mtandao wa shida hapa kuna wakati napata tabu sanaNimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya kimjini mjini.sifikirii Kama Kuna yoyote ambaye yupo ndani ndani bush kabisa.
Dah ukenikumbusha sana nyumbaniSasa ,magomeni,manzese,uhindini,kichangani kote anga zangu ,Mie MTU pori Mkuu, hapa yenyewe niko behewa nagonga vyombo kwa Shayo
HahahaDah ukenikumbusha sana nyumbani
Nipo kinamapula hapa