Hivi kuna wanandoa ambao hawachepuki kabisa?

Hivi kuna wanandoa ambao hawachepuki kabisa?

kwani we huwez kufanya kitu hadi uone mtu mwingine anafanya?
 
kijana wa watu nipo hapa ,nina 4 yrs na ndoa sijawahi hata kutia kidole papuchi ya nje.

Ila inahitaji moyo mkuu mnoo

asilimia 99.9 wanachepuka huo 0.1 n mm

Kwa huu uandishi ulichepuka
 
Wapi mkuu.
Kuna wenye matatizo ya kiafya
Kuna ambao hizi issue hawana feeling kivile na wanaona kama kupoteza muda badala kutafuta hela.
Pia wape wengne wenye mapenzi na vitj tofauti na sex
 
Back
Top Bottom