Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
Kama naamini Yesu alikufa akafufuka,kwanini nisiamini kuwa mapenzi ya kweli yapo..???
Kuna watu tu/wa naenjoy hiyo pure love balaa...acha tuu.
Tunawapataje sasa ? Ili tuinjoy kama ninyiwapo wengi tu bt mara nyingi huishia kuumizwa.
Hahahaha una umri gani?? Hebu soma hili bango litakusaidia hapo mbeleniHivi Kuna watu humu JF muna mindset kama yangu maana tamaa ya ngono na pesa imeharibu mahusiano ya siku hizi.
Kwakua kila mmoja anazaliwa kwao na kikulia mazingira na tabia za kwao, basi tafuta mmoja utakae mpenda na kisha mtengeneze vile unataka wewe awe.Tunawapataje sasa ? Ili tuinjoy kama ninyi
Hivi kwaniniKama naamini Yesu alikufa akafufuka,kwanini nisiamini kuwa mapenzi ya kweli yapo..???
Kuna watu tu/wa naenjoy hiyo pure love balaa...acha tuu.
Kumpata soul mate ni bahati bt unaweza kumpenda mtu na ukamtengeneza katika misingi ya upendo wa kweli na ukaenjoy japo haiwezi kulingana na soulmateTunawapataje sasa ? Ili tuinjoy kama ninyi
Tatizo mnaweza kukutana mkiwa nyote mmeisha choka mkajikuta kila mtu anaishi kwa kumskilizia mwenzie kwa kujua ipo siku atasalitiwaHivi kwanini
Kwa mfano wewe hapo umekosa kuenjoy hiyo pure love
Na mimi nimekosa hiyopure love
Hivi kwanini mtaani hatukutani watu wenye kutafuta hii kitu tgen tukaenjoy
Yaani sisi kutwa kucha tunalalama mitandaoni
Yaan huwezi amini nina mwaka wa tatu sijaitwa baby HONEY ile ya kubaniwa pua na macho remburembu
Ni suala la muda tuu..kama una amini utaenjoy,usiforce hivi vitu huwa vinatokea naturallyHivi kwanini
Kwa mfano wewe hapo umekosa kuenjoy hiyo pure love
Na mimi nimekosa hiyopure love
Hivi kwanini mtaani hatukutani watu wenye kutafuta hii kitu tgen tukaenjoy
Yaani sisi kutwa kucha tunalalama mitandaoni
Yaan huwezi amini nina mwaka wa tatu sijaitwa baby HONEY ile ya kubaniwa pua na macho remburembu
Omba sana Mungu mpendwa,.Tunawapataje sasa ? Ili tuinjoy kama ninyi
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na Mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano.
Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata hawakuamini kirahisi.
Bado naamini ni swala la muda tu nitakuja kumpata. Amen.
Hivi kuna watu humu JF mna mindset kama yangu maana tamaa ya ngono na pesa imeharibu mahusiano ya siku hizi.